Philip Mangula afungua mafunzo ya Siku 3 kwa Makatibu wa wa Mikoa na Wilaya wa CCM Jijini Dodoma

Political Jurist

Senior Member
Sep 6, 2021
120
104
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo la mafunzo hayo ni kujenga uelewa juu maadhumuni na Imani ya CCM sanjali na mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa letu.

Aidha Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku tatu na zaidi ya mada 17 zitafundishwa na wakufunzi mbalimbali waandamizi wa Chama na Serikali.

Mafunzo hayo yatahitimishwa tarehe 6 Novemba, 2021 ambapo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufunga Mafunzo Hayo.

IMG-20211103-WA0384.jpg
IMG-20211103-WA0387.jpg
 
Muwaambie waache kutegemea polisi. Waende vijijini. Kuna siku polisi watakaa pembeni.
 
Kutokea Jijini Dodoma

mangula.jpg

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mzee Philip Mangula leo Novemba 3,2021 amefungua Mafunzo ya kimkakati ya muda wa siku 3 kwa watendaji wakuu wa Chama hicho

Malengo la mafunzo hayo ni kujenga uelewa juu maadhumuni na Imani ya CCM sanjali na mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa letu.

Mafunzo hayo maalumu ya kimkakati yanahusisha Makatibu wa CCM wa Mikoa na Wilaya yatafungwa Novemba 6, 2021 na Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwaa Samia Suluhu Hassan

Jumla ya mada 17 zitawasilishwa katika mafunzo hayo na Wakufunzi mbalimbali waandamizi wa Chama na Serikali
 
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE

Makamu Mwenyekiti
wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo la mafunzo hayo ni kujenga uelewa juu maadhumuni na Imani ya CCM sanjali na mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa letu.

Aidha Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku tatu na zaidi ya mada 17 zitafundishwa na wakufunzi mbalimbali waandamizi wa Chama na Serikali.

Mafunzo hayo yatahitimishwa tarehe 6 Novemba, 2021 ambapo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufunga Mafunzo Hayo

IMG_20211103_214424_047.jpg

IMG_20211103_214424_059.jpg

IMG_20211103_214424_064.jpg

IMG_20211103_214424_109.jpg

IMG_20211103_214424_132.jpg

IMG_20211103_214424_141.jpg

IMG_20211103_214424_149.jpg

IMG_20211103_214424_158.jpg

IMG_20211103_214424_167.jpg

IMG_20211103_214424_228.jpg

IMG-20211103-WA0009.jpg
 
UPUUZI MTUPU! Watanzania TUNAOJITAMBUA tunataka Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi usanii wao mwisho Lumumba.
 
Kama ingekuwa hivyo basi wangeogopa hata kushiriki kwenye kutoa maoni kwa Tume ya Warioba ni kipi wanachokitaka kiwemo kwenye Katiba yao.

Tanzania ipi unayoiongelea? Tanzania ninayoifahamu raia wake ni waoga na wanafiki
 
UPUUZI MTUPU! Watanzania TUNAOJITAMBUA tunataka Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi usanii wao mwisho Lumumba.
Watanzania gani labda wewe na vilaza wenzako wa mtaa wa ufipa,halafu Huna haya unajifanya wewe ndio msemaji wa tz Nani kakutuma uwe msemaji wetu manka
 
Kutokea Jijini Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mzee Philip Mangula leo Novemba 3,2021 amefungua Mafunzo ya kimkakati ya muda wa siku 3 kwa watendaji wakuu wa Chama hicho

Malengo la mafunzo hayo ni kujenga uelewa juu maadhumuni na Imani ya CCM sanjali na mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa letu.

Mafunzo hayo maalumu ya kimkakati yanahusisha Makatibu wa CCM wa Mikoa na Wilaya yatafungwa Novemba 6, 2021 na Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwaa Samia Suluhu Hassan

Jumla ya mada 17 zitawasilishwa katika mafunzo hayo na Wakufunzi mbalimbali waandamizi wa Chama na Serikali
Mzee ana roho ngumu sana,pamoja na sumu zote alizolambishwa na yule dhalim bado tu yumo.
 
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE

Makamu Mwenyekiti
wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo la mafunzo hayo ni kujenga uelewa juu maadhumuni na Imani ya CCM sanjali na mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa letu.

Aidha Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku tatu na zaidi ya mada 17 zitafundishwa na wakufunzi mbalimbali waandamizi wa Chama na Serikali.

Mafunzo hayo yatahitimishwa tarehe 6 Novemba, 2021 ambapo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufunga Mafunzo Hayo

View attachment 1997569

View attachment 1997570

View attachment 1997571

View attachment 1997572

View attachment 1997573

View attachment 1997574

View attachment 1997575

View attachment 1997576

View attachment 1997577

View attachment 1997578

View attachment 1997579
Mazuzu katika ubora wao
 
Back
Top Bottom