Kumbe Rais Samia alisema ukweli kuhusu kesi ya Mbowe. Watanzania tutembee kifua mbele ikibidi vua hata shati tunaenda vizuri

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Niwakumbushe tuu kidogo Rais akihojiwa na shirika la habari la Uingereza BBC aliitamkia Dunia na Tanzania kuwa Mbowe ni gaidi alikimbilia kujificha Kenya na wenzie alio kuwa akishilikiana nao walisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu kuhukumiwa.

Watanzania wengi tulishitushwa na taarifa hiyo na kumshutumu Rais kuwa anasema uongo. Kwa kuwa hapakuwa na kesi yoyote ya Ugaidi Mahakamani iliyo hukumiwa Wala mtuhumiwa yeyote wa Ugaidi aliye hukumiwa zaidi ya wale Mashekhe wa Uamsho kutolewa Mahabusu.

Lakini ushahidi unao tolewa Mahakamani na Washitakiwa ambao pia ni Mashahidi upande wa Jamhuri unatuoonesha wazi kuwa Kuna Watuhumiwa wawili tayari wamesha hukumiwa. Na hukumu yao ilitekelezwa kuteswa na baadae kutupwa.

Mashadi wanasema walimuona Moses Lijenje na Denisi Urio wakiteswa na polisi na Kisha polisi wakawaeleza mwenzao Moses Lijenje wamemtupa baada ya kumtesa.Kwamba Moses Lijenje ametupwa kaburini au baharini hatujui ila uhakika ni kwamba wametupwa.

Hatuwezi kutilia shaka maelezo ya Washitakiwa kuwa Kuna wenzao wamesha uawa na polisi kwa kuwa maelezo yao yanafanana na maelezo ya Rais aliyoyasema akihojiwa na BBC kuwa Kuna Watuhumiwa tayari wamesha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.

Kuhusu CCM kuua raia hilo halina shaka ushahidi ndio huu Rais ameusema wazi wazi na Watuhumiwa pia wamekiri wenzao wameuwa. Pia aliyekuwa Katibu mkuu CCM Bashiru Ally alikiri hadharani akisema CCM tunatumia Dora kubakia Madarakani

Sio hivyo tuu hata kiongozi wa umoja wa vijana CCM ambaye Sasa amepewa cheo Cha Ukuu wa Wilaya Kheri James eti ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya alisema walimkosa kosa Tundu Lissu kumuua kwa Risasi ila kwa Sasa watatumia sumu kumuua.

Sio hivyo tuu Makamu mwenyekiti wa CCM Philpi Mangula alinusurika kuuwa akiwa ktk kikao na Wana CCM wenzake kwa kupewa sumu. Polisi walisema wanawatafuta walio husika lakini mpka Sasa hakuna mtuhumiwa hata mmoja ili hali walio hudhuria kikao hicho kilicho ongozwa na mwenyekiti wao wanajulikana

Tunawakumbusha CCM msije sema hatukuwaambia baadae. Kesi za jinai hazina muda hata ipite miaka 30 zitaibuliwa hukumu yenu ipo pale pale.
Endeleeni kutuua raia tuu Kama kuku mwenzenu Albashiri Sasa yupo mikono salama Sudani imekubali akabidhiwe I C C
akajibu mauji aliyo yafanya.
CCM oyeeeee
Rais safiiiii
Kingai oyeeee
Mahita juuu
JWTZ oyeee
Polisi safiiiiii!!
Siro ngangariiii!!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nafikiri, hii himaya igawanywe kati kati ziwe mbili. Bila jk na wanaofanana naye, ingelikuwa mbali sana. jk na watu wa aina yake wamekuwa wakirudisha nyuma sana himaya yetu kwa sababu ya dharau na kukosa tafsiri halisi ya thamani ya maisha ya binadamu na umuhimu wa maisha bora kwa binadamu.

Ninadhani itakuwa vizuri ziwe mbili in one. moja ya akin jk, na nyingine ya binadamu wakawaida, halafu wajifunze kwa aibu.
 
Mzee huyo nazan anaweza asifike 2025 Mungu atamalizana naye wanatusumbua sana
 
Mimi nafikiri, hii himaya igawanywe kati kati ziwe mbili. Bila jk na wanaofanana naye, ingelikuwa mbali sana. jk na watu wa aina yake wamekuwa wakirudisha nyuma sana himaya yetu kwa sababu ya dharau na kukosa tafsiri halisi ya thamani ya maisha ya binadamu na umuhimu wa maisha bora kwa binadamu.

Ninadhani itakuwa vizuri ziwe mbili in one. moja ya akin jk, na nyingine ya binadamu wakawaida, halafu wajifunze kwa aibu.
Jk ndie 'muasisi' wa Escrow
Jk ndie 'muasisi' wa Gas yetu
Jk ndie 'muasisi' wa Richmond
Jk ndie 'muasisi' wa Bandari ya Bgmy (upigaji)
 
Sijui kama huyu mama anajua wasaidizi wake wanavyomzunguka!
Sijui kwanini hakupenda kuchunguza ajue ukweli wa kesi ya mbowe!
Hii aibu wanayotembea nayo ni laana mbaya sana kwao na Taifa!
Hivi mtaficha wapi nyuso zenu siku ya kiyama? ukatili mnaofanyia wenzenu kwa vyeo vyenu siku zaja mtajuta milele jehenam!
 
Niwakumbushe tuu kidogo Rais akihojiwa na shirika la habari la Uingereza BBC aliitamkia Dunia na Tanzania kuwa Mbowe ni gaidi alikimbilia kujificha Kenya na wenzie alio kuwa akishilikiana nao walisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu kuhukumiwa.

Watanza
Na ngunguri nani Sasa?😆
 
Kwa sababu ya roho yake mbaya na uchu wa madaraka 2025 hajali kitu chochote she must be called out ni mbaya muuaji tu kama aliyemtangulia angekuwa na hofu asingesema kwabashasha kwamba mbowe ni gaidi na wenzake walifungwa
 
Jk ndiye mlezi wa mafisadi nchini
Jk ndiye anamfundisha Sahamia kuendeleza utegemezi wa misaada ya wazungu.
Ndio Jk ndio kanzisha vikundi vya utekekaji uuaji i na uporaji Huyo ni mbaya sana kuliko wote sasa ana mkono wake ndani ya ikulu mtu mwingine angemshauri samia kuhusu you kesi ya Mbowe na jinsi inavyo chafuka lakini wanaona sawa kikundi cha majambazi
 
Niwakumbushe tuu kidogo Rais akihojiwa na shirika la habari la Uingereza BBC aliitamkia Dunia na Tanzania kuwa Mbowe ni gaidi alikimbilia kujificha Kenya na wenzie alio kuwa akishilikiana nao walisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu kuhukumiwa.

Watanzania wengi tulishitushwa na taarifa hiyo na kumshutumu Rais kuwa anasema uongo. Kwa kuwa hapakuwa na kesi yoyote ya Ugaidi
Mkuu kuichafua serikali kwa propaganda mfu namna hii ni kupoteza muda wako bure. Hebu fikiria kuna watu walikuja na propaganda kabambe za ufisadi ili kuwachafua viongozi wa serikali na wa chama kilichopo madarakan kama vile kina Lowasa, Kinana nk lkn uchaguzi ulipofika 2010, 2015 na 2020 wananchi walitumia haki yao ya kupiga kura kuwaadhibu watengeneza propaganda hao bila huruma.

Hata zile propaganda za kumchafua hayati Magufuli kuwa ni dikteta, sijui anakandamiza demokrasia nk hazikusaidia upinzani kuingia ikulu 2020.. yan ilikuwa ni sawa na kujaza pipa kwa kisoda. So kama unaishi, unasomesha na hata kwenda msalani kwa malipo ya propaganda za namna hii. Nakushauri ndugu yang utafute kibarua kingine cha kukusaidka kupata riziki ingine ya halali bila kuchafua watu.
 
Mkuu kuichafua serikali kwa propaganda mfu namna hii ni kupoteza muda wako bure. Hebu fikiria kuna watu walikuja na propaganda kabambe za ufisadi ili kuwachafua viongozi wa serikali na wa chama kilichopo madarakan kama vile kina Lowasa, Kinana nk lkn uchaguzi ulipofika 2010, 2015 na 2020 wananchi walitumia haki yao ya kupiga kura kuwaadhibu watengeneza propaganda hao bila huruma. Hata zile propaganda za kumchafua hayati Magufuli kuwa ni dikteta, sijui anakandamiza demokrasia nk hazikusaidia upinzani kuingia ikulu 2020.. yan ilikuwa ni sawa na kujaza pipa kwa kisoda. So kama unaishi, unasomesha na hata kwenda msalani kwa malipo ya propaganda za namna hii. Nakushauri ndugu yang utafute kibarua kingine cha kukusaidka kupata riziki ingine ya halali bila kuchafua watu.
Umesoma au umesomewa hiyo habari? Kuna propaganda gani hapo?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom