johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,779
- 141,667
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.
Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.
Chanzo: ITV
Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45