Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu (binadamu). Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz...
Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally?
Je, kutotekeleza ripoti hiyo...
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .
Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa...
Sioni shida kujitokeza na kusema ile ada yetu ya kulindana tusiiache, sasa kumekuwa na msukumo wa watu wasiojulikana kutaka au kuwafikisha mahakamani wenzetu ambao wakati ulee walikuwa ndio...
Binafsi nimeshuhudia ubaguzi wakati wa Utawala wa Mwalimu Nyerere dhidi yetu Watanzania weusi asilia mara nyingi sana mpaka siku Mzee Mwinyi alipoapishwa na kuondoa Ubaguzi mkubwa tuliokuwa...
Asalaam. Alekyum,
BWANA. YESU KRISTO ATUKUZWE !
Nawasalimu wote na nnawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki.
MADA HII ITAONEKANA KAMA YA KIIMANI ZAIDI, LAKINI HEBU VUTA SUBIRA UISOME KWANZA...
Wakati akiweka jiwe la msingi miradi ya ujenzi wa nyumba za shirika la nyumba la Taifa Prof. Anna Tibaijuka amesema wameiomba serikali ipunguze kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili shirika hilo liweze...
CCM narudia Tena CCM hii chuki inayotamalaki italiangamiza Taifa.
Haya tuyashuhudiayo katika shughuli za uchukuaji na urejeshwaji fomu za Serikali ya Mitaa inahuzunisha sana.
Basi sawa lakini...
Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.
Ikitokea wewe...
Mojawapo ya vitu vilivyochangia amani na utulivu wa Tanzania ni pamoja na kuongozwa na maraisi wanaotoka makabila madogo.
Nyerere alikuwa anatoka kabila dogo sana la wazanaki na aliongoza nchi...
Tanesco Director General explains frequent power cuts
FRIDAY NOVEMBER 05 2021
A Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) technician at work. Tanesco director general Maharage Chande has blamed...
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na...
Kuna kada mmoja wa CCM amemponda Jenerali Ulimwengu kwa kueleza kwamba kupiga picha na viongozi waliopigania uhuru siyo sifa bali ni ushamba.
Niseme tu wakati ule kuwakaribia tu viongozi wa...
Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu...
Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale...
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa wote nchini na hasa wale wa mipakani kutozuia mbolea inayoingia nchini kwa sababu yoyote ile.
Mh Majaliwa amesema kuna uhaba wa mbolea na huu ni...
Inapotokea kikao cha Jumuia ya Afrika Mashariki kikahudhuriwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu, halafu ikulu ikatoa taarifa kuwa ni Rais Magufuli ndiye alyeshiriki kikao hicho, Je, Hii si ishara...
"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli)...
Anaandika Mkt wa CCM mkoa wa Mwanza Dkt Antony Diallo,
MAFANIKIO YA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
===
1. TAZARA (SGR ya kwanza Afrika Mashariki na kati) aliijenga na Mwenzie Kaunda...
Rais Samia Suluhu Hassan anapokea kifimbo cha malkia wa Uingereza Ikulu jijini Dar es salaam kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola.
Tukio liko mubashara TBC na Channel ten
---
Rais...