January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

Omutontozi

Senior Member
Nov 12, 2021
122
213
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu (binadamu). Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz, bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena, Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa, nafasi za kuua wamtakae wameikosa sasa wanakuandama wewe kwa sababu umewekwa sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kula.

Wanajifanya wazalendo wakati hawana lolote bali tu matumbo yao yamebanwa. Kama ni kula we kula tu January kwani ni lini nchi hii imeacha kuliwa

Wanafiki wanaokupigia kelele wanaona safari yako ya kuingia Ikulu imerahisishwa sana maana ramli zinaonesha nyenzo zote za kuingia Ikulu unazo labda uzichezee. Binafsi nilitaka baada Samia Upinzani uingie Ikulu lkn kama mazingira yasiporuhusu January utakuwa chaguo sahihi.

Achana na wapumbavu eti bwawa, Wtz tuna shida nyingi zaidi ya hilo bwawa. Trilion 6 iliyoelekezwa kwenye hilo dude ingeelekezwa katika kusambaza maji ningewapigia makofi mengi

Kama wao walitelekeza mradi wa gesi bila sababu, sitaona ajabu hata bwawa likitelekezwa, tunahitaji Katiba Mpya kuondoa vurugu hizi za kisiasa.
 
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu( binadamu) .Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz,bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena,Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa,nafasi za kuua wamtakae wameikosa sasa wanakuandama wewe kwa sababu umewekwa sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kula. Wanajifanya wazalendo wakati hawana lolote bali tu matumbo yao yamebanwa,,,,,,Kama ni kula we kula tu January kwani ni lini nchi hii imeacha kuliwa

Wanafiki wanaokupigia kelele wanaona safari yako ya kuingia Ikulu imerahisishwa sana maana ramli zinaonesha nyenzo zote za kuingia Ikulu unazo labda uzichezee,,,Binafsi nilitaka baada Samia Upinzani uingie Ikulu lkn kama mazingira yasiporuhusu January utakuwa chaguo sahihi.

Achana na wapumbavu eti bwawa,Wtz tuna shida nyingi zaidi ya hilo bwawa.Trilion 6 iliyoelekezwa kwenye hilo dude ingeelekezwa katika kusambaza maji ningewapigia makofi mengi,,,,

Kama wao walitelekeza mradi wa gesi bila sababu,sitaona ajabu hata bwawa likitelekezwa,,,tunahitaji katiba mpya kuondoa vurugu hizi za kisiasa.
Ndiyo maana unajiita mutontozi, Tena mutontozi wa kichwani Kama wa kwako Ni taabu sana
 
Hayo maji yangesukumwa na nini bila umeme au?

Mbona mnawaza kijinga kama nyumbu bila kutumia akili mvukapo mto wenye mamba?

Hayo maji yatapandaje kwenu bila umeme kama unatumia akili ujibu.
 
Wewe ni zuzu wa makamba kakutuma ulete uharo humu!

Makamba ni janga la kitaifa na kama akigombea urais wa nchi hii ataambulia kura yako na ya mke wako,baba yako, mama yako,mzee Makamba na genge la msoga na CCM Itakuwa HISTORY.
Maskini kijana watu usiniue mi niko kijijini kwetu huku wala Makamba sijawahi kumuona karibu zaidi ya kumuona kwenye Tv tu ila unafiki wa awamu tano safagilii
 
Hayo maji yangesukumwa na nini bila umeme au?

Mbona mnawaza kijinga kama nyumbu bila kutumia akili mvukapo mto wenye mamba?

Hayo maji yatapandaje kwenu bika umeme kamaunatumia akili ujibu.
Kwani Kikwete aliyatoa ziwa victoria akayasukuma na Umeme gani? Kwanini hatukuendeleza mradi wa gesi badala yake tukakurupuka na bwawa ambalo utasikia mara oooh kuna watu wanafungulia maji kama alivyotwambia Magufuli, mara ukame usababishe maji kupungua hivyo umeme kutozalishwa
 
Unaleta hadithi mara unazungumzia ukabila! Kwa hiyo huyo kilaza wako akigombea hatahitaji kura za wasukuma?. Acha upumbabu wewe bwege alikwambia nani kila anayempinga makamba ni Msukuma?
We ni lingosha fulani, lipo lingine hapa ofsini kila mara kumtaja Magufuli tu!!! Mtakufa mwaka huu na Makamba ndio huyoooooo rais 2030 kama mungu akimjalia uzima, halafu tangu lini CCM mkashinda kwa kutegemea kura!!!? Si mnapora tu
 
Naona watu wanashindwa kuona!!! Hii ni vita ya Urais yani January hata akikohoa wajinga flani wanamshukia kama mwewe! Ila mjue kete zake zote zimepangwa vizuri ni mungu amjalie uhai 2030 ndo Rais, Urais wa bongo ni mchongo kama zilivyo ajira zingine, Kama mnamtaka Mwigulu sioni mjomba wa kumvuta mkono atulie amnyenyekee Makamba labda 2040 atamwachia
 
Back
Top Bottom