Hii nafasi naomba mnipatie niongoze hilo jimbo.
Panakitu hapaaa ngoja tusikilizieeHii ni kali na haijawahi kutokea 😳😳
1.UshirikinaAisee! sababu za kifamilia ni kama zipi wakuu?
Kuna watu hawapendi kujiunganisha na dhulma na uonezi!Panakitu hapaaa ngoja tusikiliziee
Utajiuzuru piaHii nafasi naomba mnipatie niongoze hilo jimbo.
huyu bwana yawezekana FAMILIA nayo imeingilia kati mwishoe kaona isiwe taabu kugombana na familia kisa ubungeKuna watu hawapendi kujiunganisha na dhulma na uonezi!
Kafanya jambo la kheri.