Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,445
7,816
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha.

Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi?

Waziri wa fedha(Mwigulu Nchemba): Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TRA unaonyesha duniani kuna mabilionea milioni 14 na kwa mujibu wa ripoti ya RBC wealth management bara la Afrika pekee lina mabilionea 140,000 sawa na asilimia 1 ya mabilionea duniani.

Tanzania ina mabilionea 5740 ambao wanamiliki 4.2% ya utajiri katika kundi la mabilionea wa Afrika. Katika mabilionea hao ni 115 sawa na 2% wanaomiliki zaidi ya asilimia 28 ya utajiri wote wa mabilionea wanaotoka Tanzania
 
IMG-20211102-WA0023.jpg
 
Swali: Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi?

Mwigulu Nchemba: Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TRA unaonyesha duniani kuna mabilionea milioni 14 na kwa mujibu wa ripoti ya RBC wealth management bara la Afrika pekee lina mabilionea 140,000 sawa na asilimia 1 ya mabilionea duniani.

Tanzania ina mabilionea 5740 ambao wanamiliki 4.2% ya utajiri katika kundi la mabilionea wa Afrika. Katika mabilionea hao ni 115 sawa na 2% wanaomiliki zaidi ya asilimia 28 ya utajiri wote wa mabilionea wanaotoka Tanzania
...amesema nini huyu mbona kama kadablakada ya mazingaombwe?
 
Hata Kingwendu yumo katika list ya ma bilionea.
Sorry ivi Kingwendu huigiza lafudhi ya kabila gani? Masanja lafudhi yake huiguza Wasukuma, na Mpoki huigiza Wahaya. Je huyo anatupatia reflection ya kabila gani?

Ikimbukwe Makabila ni kivutio na ni Historia ya mankind, kuikata hiyo hulenga tu kuilinda jamii ndogo against kubwa!
 
kingwendu haigizi lafudhi yoyote, character yake ni ya kijana mmoja ambaye hajakuwa
 
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha.

Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi?

Waziri wa fedha(Mwigulu Nchemba): Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TRA unaonyesha duniani kuna mabilionea milioni 14 na kwa mujibu wa ripoti ya RBC wealth management bara la Afrika pekee lina mabilionea 140,000 sawa na asilimia 1 ya mabilionea duniani.

Tanzania ina mabilionea 5740 ambao wanamiliki 4.2% ya utajiri katika kundi la mabilionea wa Afrika. Katika mabilionea hao ni 115 sawa na 2% wanaomiliki zaidi ya asilimia 28 ya utajiri wote wa mabilionea wanaotoka Tanzania
Na yeye akiwepo na mabasi yake ya Ester
 
Sorry ivi Kingwendu huigiza lafudhi ya kabila gani? Masanja lafudhi yake huiguza Wasukuma, na Mpoki huigiza Wahaya. Je huyo anatupatia reflection ya kabila gani?

Ikimbukwe Makabila ni kivutio na ni Historia ya mankind, kuikata hiyo hulenga tu kuilinda jamii ndogo against kubwa!
Zaramo gang
 
Definition ya mabilionea ya Mwigulu naona sio sahihi hata kidogo..

Au ana maanisha ukiwa na tshs bilioni moja na kuendelea ndio bilionea.?

Nijuavyo bilionear duniani kote wanatajwa kwa kulinganisha na US Dollars na sio Tshs.

Kama ni bilionea in tshs basi Arusha tuna mabilionea zaidi ya 10,000
 
"A billionaire is an individual who has assets or a net worth of at least one billion currency units such as dollars, euros, or pounds". Usiamini sana vya wazungu ukaacha kuamini vyako
 
Huu utafiti utakuwa umefanywa kwenye Tshs. Kwa hiyo Mtanzania yoyote mwenye dola laki tano ni bilionea!!

Ukiwa na nyumba yako useme ina thamani zaidi ya dola 500,000 upo kwenye list!
 
Back
Top Bottom