Hizi picha miaka 60 baada ya uhuru, ni kielelezo tulikosea kutaka kujitawala na tulitakiwa tuendelee kutawaliwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.

Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.

Alietuloga alaniwe.

Screenshot_20210925-164337_Twitter.jpg
 
uandishi wa mbunge mstaafu umejaa mihemko na hasira za kitoto sana.

eti maccm
 
Usichokijua ni kwamba, familia zenye hali ya umasikini kama huo bado zipo nyingi mno.
Kinachotukomboa ni maendeleo ya wazungu, lakini vya kwetu wenyewe bado ni duni tangu miaka 60 ya uhuru
 
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.

Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.

Alietuloga alaniwe.

View attachment 1952384
Hapo kuna shule au chaka la panya.
 
Ni tamaa ya wachache , akina Nyerere kutaka kutawala.
Hivi kulikuwa na ubaya gani kumuacha Mwingereza aendelee kutawala?
Tungekuwa mbali sana.
Ngozi nyeusi hakuna tunachojua zaidi ya Rushwa, ufisadi na kupenda sifa.
Eenhe aisee hapa ndo Mawazo yako yamekupeleka, vile viboko walivyochapwa babu zako bado unavitamani.
Unashangaza!
 
Back
Top Bottom