Rais ajaye 2025 ni kanda ya kati Dodoma

Rais ajaye 2025 ni kanda ya kati Dodoma

mkaliman

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
877
Reaction score
1,110
Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
 
Kamda ya magharibi alitoka Rais gani mkuu??

Naona pia tusiende kwa ukanda tuende kwa uweledi. Hata akitokea wa kanda ya ziwa mwingine 2025 tumpe tu waendelee kutunyooshea nchi maana hawa watu kwa kujisimamia wako vizuri
 
Mwalimu alitoka kanda ipi?
 
Kamda ya magharibi alitoka Rais gani mkuu??

Naona pia tusiende kwa ukanda tuende kwa uweledi. Hata akitokea wa kanda ya ziwa mwingine 2025 tumpe tu waendelee kutunyooshea nchi maana hawa watu kwa kujisimamia wako vizuri
Kanda zote hazikosi watu wenye sifa tunayotaka, ni swala la kuamua tu kwamba this time tunataka rais kutoka Zanzibar, then tunamuandaa, ukanda haukosa watu zaidi ya milioni 3, sio kweli kwamba katika watu milioni 3 tutakosa mtu mwenye sifa na weledi tunaotaka.
 
Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
Kanda ya kati!!! Unajua uongozi huanzia kwenye familia. Hao watu wa katikati hao!!
 
Ni kweli, kwenye list tuongeze kanda ya magharibi mikoa ya Katavi, Tabora na Kigoma. (namuona Zitto akitabasamu.)
 
Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
Kwanini Isifuate kanda ya Kaskazini? Kwanini Ianze kanda ya kati?
 
JOSEPH LUSINDE KIBAJAJI
 
Kwanini Isifuate kanda ya Kaskazini? Kwanini Ianze kanda ya kati?
Kanda ya kati inahitaji mkombozi period. Ipeleke mtu akachungulie jikoni. Nimepita mikoa ya singida na dodoma nimegundua kuwa wanahitaji mkakati kabambe wa kuondoa umasikini. Sasa wakiwa na rais pale ikulu, hoja hii itawawia nyepesi.
 
Pia ingefaa zaidi specifically akatokea dodoma ili aimarishe ikulu ya dodoma ambayo anko ameshatangaza rasmi kuhamia.
 
Haya maneno ya some body4 life yatakuja kuligharimu taifa muda wowote maana kuna vibaraka wanayataja sana,,,take care!!gharama yake ni kubwa
 
Kanda ya kati inahitaji mkombozi period. Ipeleke mtu akachungulie jikoni. Nimepita mikoa ya singida na dodoma nimegundua kuwa wanahitaji mkakati kabambe wa kuondoa umasikini. Sasa wakiwa na rais pale ikulu, hoja hii itawawia nyepesi.
Kwahiyo unauchukulia Uraisi kama tiketi ya kufanya upendeleo eneo analotoka kiongozi. Hii ni sawa?
 
Back
Top Bottom