Zanzibar: Rais Mwinyi afanya teuzi za Wajumbe Baraza la Wawakilishi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewateua watu watano kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Kwa kufuata kifungu 66 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1964 amewateua Saada Mkuya Salum, Tabia Maulid Mwita, Juma Ali Khatib, Hemed Suleiman Abdalla na Anna Athanas Paul.

Viongozi wote hao walitakiwa kuripoti Baraza la Wawakilishi Novemba 8 saa sita mchana.
1604835365798.png

1604835496013.png
 
Naona Saada Mkuya kaibukia kwao sasa baada ya kubebwa bebwa na JK ubunge,unaibu waziri was fedha, Uwaziri wa fedha

**Anna Athanas Paul naona majina ya upande "wetu" nayo yamekumbukwa
 
Hivi hakuna majina ya wabunge mpaka kila siku mkuya mkuya
Hivi Chama chetu hiki hakina chipukizi wengi waache na hawa veterani??
Hivi unaweza taja chama chenye majina mapya co kila cku mbatia mbowe sefu zito na hata huko ccm wenye nacho huongezewa mkuu.
 
hivi unaweza taja chama chenye majina mapya co kila cku mbatia mbowe sefu zito na hata huko ccm wenye nacho huongezewa mkuu
Yaan hizi mzee ni kama cohort fulani
Yaan ni hao hao miaka nenda rudi
Aiseh walete wengine jaman
 
Uzoefu Mkuu wangu....

Huwezi kuteua vijana na WAPYA PEKEE komredi!!
Hivi hakuna majina ya wabunge mpaka kila siku mkuya mkuya
Hivi Chama chetu hiki hakina chipukizi wengi waache na hawa veterani??
 
Naona Saada Mkuya kaibukia kwao sasa baada ya kubebwa bebwa na JK ubunge,unaibu waziri was fedha,uwaziri wa fedha

**Anna Athanas Paul naona majina ya upande "wetu" nayo yamekumbukwa
BLW litamteua kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.
 
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewateua watu watano kuwa wajumbe wa baraza la wawakilishi.

Kwa kufuata kifungu 66 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1964 amewateua Saada Mkuya Salum, Tabia Maulid Mwita, Juma Ali Khatib, Hemed Suleiman Abdalla na Anna Athanas Paul.

Viongozi wote hao walitakiwa kuripoti Baraza la Wawakilishi Novemba 8 saa sita mchana.
View attachment 1622127
View attachment 1622128
Sijui ni kwa nini mheshimiwa sana Raisi Mwinyi kamteua huyu Saada Mkuya Salum

Mh. Raisi Mwinyi asije tu akamteua kuwa waziri wa fedha Zanzibar

Endapo akimfanya Saada Mkuya Salum kuwa waziri wa fedha basi mheshimiwa sana Raisi Mwinyi ajiandae ku-experience mivutano baina ya serikali yake na serikali ya muungano....na mivutano hiyo itachochewa na waziri Saada Mkuya Salum
 
Mheshimiwa sana Raisi Mwinyi usije mteua Saada Mkuya kuwa waziri wa fedha, atakukwamisha, atakugombanisha na serikali ya muungano na viongozi wa chama

Raisi Mwinyi unahitaji pia wateule watakao iunganisha Zanzibar na Tanzania bara...Saada Mkuya Salum hana sifa hiyo 'atakuharibia - nalisema mapema'

CC: Mheshimiwa sana Raisi Hussein Ali Hassan Mwinyi

Nakukubali ndio maana natahadharisha mapema

Saada Mkuya Salum hapana hapana
 
Hongereni bado Makamu wa kwanza wa Rais pamoja na Wajumbe wengine watano
 
Sijui ni kwa nini mheshimiwa sana Raisi Mwinyi kamteua huyu Saada Mkuya Salum

Mh. Raisi Mwinyi asije tu akamteua kuwa waziri wa fedha Zanzibar

Endapo akimfanya Saada Mkuya Salum kuwa waziri wa fedha basi mheshimiwa sana Raisi Mwinyi ajiandae ku-experience mivutano baina ya serikali yake na serikali ya muungano....na mivutano hiyo itachochewa na waziri Saada Mkuya Salum
Kwan huyu saada mkuya mbona ulimponda sana ana shida gani ?

Alafu hawa viongoz toka upande wa Znz wengi wana maeneo yao huku bara huwa wana enjoy sana huku bara kiukweli
 
Back
Top Bottom