Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.

Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.

Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga kabisa ambayo haina umri hata wa miaka 20, lakini cha ajabu yanaletwa mapendekezo ya kukata eneo kutoka mkoa huo kwenda kuunda mkoa mwingine—Ili iweje?

Lakini kibaya zaidi, Leo tunakwenda kukata eneo la mkoa ambao by all standards ni mkoa kongwe, wenye historia ndefu, Mkoa wa Kagera, uliobeba historia ya nchi hii kwa utamaduni wake mzuri, historia ya falme zake, lugha yake n. k tunakwenda kumegua eneo katika huo mkoa na kuunda mwingine tu ili kumpa mwendazake hitajio la moyo wake, bila kuangalia cultural-social dynamics za watu.

Tunajua Magufuli hakuwahi kuwapenda Wahaya, hata alipokuwa Waziri aliplay key role kwenye kuimega Chato kutoka mkoa wa Kagera.
Sasa hilo halikuishia hapo, leo tunakwenda kuimega Ngara na Biharamulo tena na kuiundia mkoa ili iweje?

Kama mnadhani kuunda mkoa ni kusogeza huduma kwa wananchi, basi uongezeeni bajeti mkoa wa Kagera na usogezeeni huduma ili huduma ziendelee kupatikana humohumo badala ya Kuumega mkoa huo.

Chato haina vigezo vya kuwa mkoa tunalazimisha mambo kumuenzi Marehemu bila kujali misingi ya utamaduni na historia za maingiliano ya watu wa maeneo husika.

Samia Iache Kagera kama ilivyo, ila Isogezee huduma zaidi!
 
Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,717
2,000
Naunga mkono kabisa kuundwa kwa mkoa wa Chato kwa sababu kuu moja, ... nayo ni kuisogeza serikali karibu zaidi na ukanda huu uliopakana na chanzo kikuu cha migogoro ya nchi za maziwa makuu (TUTSI/HUTU conflict zone)!
👊 :cool:✌️💥☠️☠️☠️💀
 
Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,717
2,000
Wilaya zina kazi gani?
... TUTSI/HUTU CONFLICT ZONE INAHITAJI KUKODOLEWA MAJICHO MAKUBWA ZAIDI!
1622363351388.png
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Ila Magufuli alikua na roho ya ajabu sana,sishangai moyo wake kuwekewa umeme..."TOO SELFISH" ukifatilia historia ya kuanzishwa kwa wilaya ya Chato alitumia ubabe na roho mbaya kulazimisha makao makuu yajengwe kwao.
Magufuli alikuwa anachukia Wahaya kwa sababu tangu ujanani walikuwa wakimuita "Mushuti" - Yaani Mrundi

Alikuwa na chuki na Uhaya, tangu alipofanya figisu kuichomoa Chato kutoka katika mkoa wa Kagera ni muendelezo wake wa kutaka kujidistance kutoka katika influence na cultural dominance ya wahaya katika hiyo region.

Na chuki yake mliishuhudia baada ya tetemeko.

Samia aachane na idea hii ya Mkoa wa Chato, haina mantiki
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,753

Huyu jamaa alikuwa primitive sana. Bado alikuwa amejaa yale mambo ya kizamani ya ukabila na umimi. Alikuwa anaishi bado kwenye zile enzi za makabila kuwekeana uhasama au kupigana.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Tulikuwa na rais wa ajabu haijawahi kutokea

Nyerere katawala miaka 24 hakuwahi kuwaza hata siku moja Butiama iwe mkoa.

Unaongeza mkoa mwingine wakati huu wa Geita hujaujengea miundo mbinu ya kutosha. Kwa nini hizo costs za mkoa mpya unaotaka kuunda wa Chato usiizinvest kwenye mkoa wa Geita ambao tayari upo ili kuunyanyua?

Mkoa mpya maana yake ni costs mpya za kiutawala!
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,128
2,000
Magufuli alikuwa anachukia Wahaya kwa sababu tangu ujanani walikuwa wakimuita "Mushuti" - Yaani Mrundi

Alikuwa na chuki na Uhaya, tangu alipofanya figisu kuichomoa Chato kutoka katika mkoa wa Kagera ni muendelezo wake wa kutaka kujidistance kutoka katika influence na cultural dominance ya wahaya katika hiyo region.

Na chuki yake mliishuhudia baada ya tetemeko.

Samia aachane na idea hii ya Mkoa wa Chato, haina mantiki
Kwa hiyo magu alijaribu kujinasabisha na wahaya, na nyie watani zangu ninavyowajua mkamchukulia kama kikaragosi, ndo akaenda kwa wasukuma, nilikuwa najiuliza kama ni msukuma pure maana nawajua wasukuma kwa sura na hulka zao, nikadhani labda atakuwa mzinza maana wao siwajui vizuri....kwa namna ninavyowajua waitu kwa majigambo siwezi kushangaa kwamba aliwachukia kinyama.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Kwa hiyo magu alijaribu kujinasabisha na wahaya, na nyie watani zangu ninavyowajua mkamchukulia kama kikaragosi, ndo akaenda kwa wasukuma, nilikuwa najiuliza kama ni msukuma pure maana nawajua wasukuma kwa sura na hulka zao, nikadhani labda atakuwa mzinza maana wao siwajui vizuri....kwa namna ninavyowajua waitu kwa majigambo siwezi kushangaa kwamba aliwachukia kinyama.
Huko shuleni aliposoma na wahaya walikuwa wakimuita "mushuti", yaani wale warundi waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka hiyoo. Na wahaya walikuwa na dharau kubwa kwa warundi kwa sababu walikuwa wakiwatumia kama vibarua vya kuwalimia mashamba yao ya ndizi.

Magufuli hajawahi kuwapenda Wahaya au uhaya, amefight sana kujidistance kutoka kwao. Sasa Mkoa wa Kagera ni nguzo ya Uhaya
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,128
2,000
Huko shuleni aliposoma na wahaya walikuwa wakimuita "mushuti", yaani wale warundi waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka hiyoo. Na wahaya walikuwa na dharau kubwa kwa warundi kwa sababu walikuwa wakiwatumia kama vibarua vya kuwalimia mashamba yao ya ndizi.

Magufuli hajawahi kuwapenda Wahaya au uhaya, amefight sana kujidistance kutoka kwao. Sasa Mkoa wa Kagera ni nguzo ya Uhaya
Yaa, najua wahaya wana ego-centrism dhidi ya makabila mengine, sasa imagine mtu umechangamana na wahaya hata identity yako hawaijui vizuri,lazima utaomba poo. All in all sijaona mantinki ya kuunda mikoa mipya maana majukumu mengi ya kiutendaji yapo kwenye wilaya, kwa hiyo utaona umuhimu upo kwenye kuanzisha wilaya mpya kuliko mikoa.
 
Ng'wale

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
3,749
2,000
Huko shuleni aliposoma na wahaya walikuwa wakimuita "mushuti", yaani wale warundi waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka hiyoo. Na wahaya walikuwa na dharau kubwa kwa warundi kwa sababu walikuwa wakiwatumia kama vibarua vya kuwalimia mashamba yao ya ndizi.

Magufuli hajawahi kuwapenda Wahaya au uhaya, amefight sana kujidistance kutoka kwao. Sasa Mkoa wa Kagera ni nguzo ya Uhaya
Hivi yeye ni kabila gani hasa? Maana tunasikia hata usukuma alijisogeza tu.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Mikoa haiundwi kuhifadhi mipaka ya kikabila bali kusogeza huduma kwa watu. Kupasuliwa Kagera kwenda mkoa mwingine hakumfanyi Muhaya kuwa Mbondei..atabaki na uhaya wake.
Hiki unachosema ingekuwa ni hoja kama tungeona mikoa mikubwa zaidi nchini ikigawanywa kwanza kabla ya ile midogo.

Au hoja yako ingemake sense zaidi kama ingeundwa mikoa midogomidogo miingi from the begining
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom