Kama kweli Serikali ya Magufuli ilikopa fedha nyingi nje ya Utaratibu, Bunge letu lilikuwa wapi wakati huo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,902
2,000
Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.

Spika alikuwa wapi?

Naibu Spika alikuwa wapi?

KUB alikuwa wapi?

Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?

Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,756

Lilikuwepo ila lilikuwa dhaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,914
2,000
Kangi Lugola alitumbuliwa na Magufuli kwa kosa la kuingilia kazi ya waziri wa fedha Dk Mpango kwenda kukopa nje.

Kwenye serikali ya awamu ya tano aliyekuwa anaruhusiwa kukopa kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha tu.

Kwa hiyo huo uongo wa kina Nape hauna mashiko na uzuri Dk Mpango bado yupo
 
Atufigwegwe god

JF-Expert Member
Sep 24, 2018
377
500
Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.

Spika alikuwa wapi?

Naibu Spika alikuwa wapi?

KUB alikuwa wapi?

Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?

Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Magufuli bunge lote aliliweka mfukoni
 
Atufigwegwe god

JF-Expert Member
Sep 24, 2018
377
500
Kangi Lugola alitumbuliwa na Magufuli kwa kosa la kuingilia kazi ya waziri wa fedha Dk Mpango kwenda kukopa nje.

Kwenye serikali ya awamu ya tano aliyekuwa anaruhusiwa kukopa kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha tu.

Kwa hiyo huo uongo wa kina Nape hauna mashiko na uzuri Dk Mpango bado yupo
Wai Chato katambikwe dada
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
63,731
2,000
Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.

Spika alikuwa wapi?

Naibu Spika alikuwa wapi?

KUB alikuwa wapi?

Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?

Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Bunge la kijani, alinunua wabunge 90% wa upinzani ili wamuunge mkono.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
15,273
2,000
Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.

Spika alikuwa wapi?

Naibu Spika alikuwa wapi?

KUB alikuwa wapi?

Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?

Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Waondoe CHADEMA kwenye huo upuruzi wenu. Mliwmbiwa bungeni na hata hapa mliambiwa mkaja na majibu mepesi kwamba Tanzania ni Dona Kantiri.
 
santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,349
2,000
Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.

Spika alikuwa wapi?

Naibu Spika alikuwa wapi?

KUB alikuwa wapi?

Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?

Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Unajaribu kubalance kwa kumweka KUB NA MWENYEKITI wa PAC kwenye uozo wa awamu ya tano? Usitudanganye kwamba ulisafiri wakati huo wote wa nchi yetu kuwa dona kantree mpaka kuingia uchumi wa kati?! Kama Wewe ni marehemu , ulikufa March 17, na si nyuma ya hapo, Kwa hiyo vuta kamasi, kisha ulimeze, consiparacy ya kukommiti tororisti mkubwa Wewe!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom