Tukimaliza la Machinga, tuliangalie la Karakana

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
416
462
Napendekeza mamlaka kuliangalia pia suala la kuenea Karakana za magari, mafundi mbao, aluminiam na kuchomelea vyuma.

Nakubali kuwa kazi hizi ni chanzo Cha mapato kwa wengi na zinasaidia watu kujikwamuwa kimaisha. Hata ivyo, kumekuwa na uholela wa maeneo ya kuwekeza shughuli hizo.

Nashauri Halmashauri ziliangalie janga ili kabla halijaathili jamii kwa kiasi kikibwa.
 
Na pia hawa traffic police nao waondolewe barabarani magari yawe yanajipeleka yenyewe kukaguliwa kwenye vituo vya police
 
Back
Top Bottom