William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Kwanza nimeona kabisa Mara tatu mfululizo akinakibatala wanadondokea pia kwenye maamuzi hayo.
Kuna mazingira ambayo lazma wayasome. Kwenye mapingamizi yao ikitokea upungufu ata punje lazma wapigwe chini.
Lakini jamuhuri makosa yao huweza tu kuchukuliwa NI ya kawaida kabisa. Kesi ya kwanza wanaambiwa walikosea kuelezea kosa. Binafsi naona wazi kabisa hizi kesi ndogo haziko upande wao.
Mawakili wasomi akina Kidando wamejipanga kwa kila mbinu. Sioni haja ya kung'ang'ania kwanini wasipambane na nyaraka hivyoivyo?
Kama hawakuchukua video wakati wanawahoji. Hawakunasa sauti je wanasibitisha vipi kuwa maelezo ni yao?
Mi naona waachane na kesi ndogo Mbowe atasota mda mrefu jela. Waiache kesi isogee ata akifungwa mbona akina Mugabe na Mandela walifungwa na mahakama.
Watulie waiachie mahakama Kama NI lazma kufungwa kwa nguvu izi na maamuzi yaliyokwisha kutolewa kwa kesi ndogo atafungwa tu.