Msiilinganishe Zanzibar na Tanganyika - Wazenji wapo mbali sana na sasa

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar katika kiwango kikuu na kabla jua halijakuchwa kiumbe mwengine akaibuka huyu nae ndio amepigilia msumari wa tangazo la kuirudisha Zanzibar kwenye ramani. Si mwingine ni mshindi wa Nobel au prize ya Nobel. Tuseme Two Mega Star .

Machogo mlikuwa mmetufunika vibaya mno,Nyerere,Mwinyi,Mkapa Kikwete wote hawa waliididimiza Zanzibar na kuifanya kama wilaya hata wananch wa Tanganyika nao walikuwa wanaiona Zanzibar kama kajiwilaya tu mara nyingi wakisikika wakilinganisha ,hujiuliza hawa ndugu zetu wa Muungano kwa nini wanatuona hivyi,wametugeuka ? mipango ya kuifanya nchi moja imetimia ?

Kila wazenji wanavyojipapatua machogo hutoa kichapo,utawasikia wakisema cha mbwa koko,hivi machogo wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ? Huwa siamini ila huishia na kuona ni siasa za CCM kutuvuruga kisha wakae bungeni kirahisi wakitutawala.

Ila Manyani yamemaliza miti sasa wanaparamiana wenyewe kwa wenyewe ni methali ya kiswahili sanifu hio.

Zanzibar wametoa Raisi mwenye kutenda haki habagui hii Tanganyika hii Zanzibar ,haki sawa kwa wote kama Nchi mbili zilizoungana na pia wametoa Mshindi wa Nobel Prize ,watanganyika si haba nao wametoa washindi wa sanaa wenyewe hujiita au huwaita wasanii.Humjui mwanamke wala mwananme wote ni wakata viuno. Na hawainjoi kama hawajafika Zanzibar sijui wanaiona kama Ulaya ? Yaani hata aende Singapore,dubai uarabuni lakini kama hajakanyaga Zanzibar huwa ndoto yake haijatimia. CCM inadumaza akili za wananchi kwa speedi ya mwendo kasi.
 
Huyo Rais mwanamke kutoka Zanzibar alichaguliwa na nani, na lini? Siku zote mtabakia tu kuwa Colony la Tanganyika!

Labda muwe na akili ya kukubali mabadiliko ya Katiba na yanayo tambua uwepo wa serikali tatu, au mjitenge rasmi na kuanzisha Taifa lenu, ili na sisi Watanganyika tupumue! Maana mmezidi kuwa Makupe.
 
Eeeh mghoshi.
 
Naona mnaupiga mwingi toka visiwani..safi..ila kutuita machogo nyie wake wa waarabu hizi ni dharau.

Nikukumbushe kua zanzibar bado itachaguliwa wakuitawala tokea dodoma...kwa hao unao waita machogo kenge wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kubalini kuitwa machogo ,hamna budi maana nasi tukishuka pale feri mnatuita wapemba,hatuoni aibu na tunajinasibu japo tunatokea makunduchi.

haijalishi kachaguliwa au hakuchaguliwa,Katiba imetoa haki hio ,na hata kama mkifanya noma au kampeni asipite ili mpate kuongozwa na Chogo mwenzenu basi nae hatachukua Muda atakwenda na maji. Mpaka kieleweke. Chezea pemba wewew !
Tena hilo mlijue mkifanya uzembe kutaka au kulazimisha Raisi wa muungano lazima awe Chogo basi mjue ,mtamzika mtu,hatutanii kwa hilo ,ule mchanga tuliochota pale kaburini kwa Maalim Seif bado tunao na hauja expire ,si mmeona majuzi miCCM ilivyoadhirika kwenye tamasha la kufungua Taasii ya Maalim Seif.

Yaani kiti cha Uraisi kwa machogo kitakuwa moto kweli,MiCCM kaeni nacho mbali ,yaani mkiiba ,anaeshinda kwa wizi wa kura kisha ili awe Raisi ,basi si muda Mzanzibari anakuwa tena Raisi,
 
Ni rais wa Zanzibar? Acheni utoto, nje ya mipaka ya nchi hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tu. Hakuna nchi nyingine.
 
Watu wa aina hii wanaanzia mbali huwezi kujua lengo lao kirahisi hawapendi kuwe Shwari sijui wananufaikaje?
 
"Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea.."
Wewe legelege hiyo Nchi ya Zanzibar inapatikana bara gani?
 
Unaemsifia mwenyewe ni failure tu, nyinyi bila ma-mastermind wa bara hamuendi. ZANZIBAR ni kisiwa cha mazuzu kuanzia akili hadi nguvu za kimwili.
 
Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar katika kiwango kikuu na kabla jua halijakuchwa kiumbe mwengine akaibuka huyu nae ndio amepigilia msumari wa tangazo la kuirudisha Zanzibar kwenye ramani. Si mwingine ni mshindi wa Nobel au prize ya Nobel. Tuseme Two Mega Star .

Machogo mlikuwa mmetufunika vibaya mno,Nyerere,Mwinyi,Mkapa Kikwete wote hawa waliididimiza Zanzibar na kuifanya kama wilaya hata wananch wa Tanganyika nao walikuwa wanaiona Zanzibar kama kajiwilaya tu mara nyingi wakisikika wakilinganisha ,hujiuliza hawa ndugu zetu wa Muungano kwa nini wanatuona hivyi,wametugeuka ? mipango ya kuifanya nchi moja imetimia ?

Kila wazenji wanavyojipapatua machogo hutoa kichapo,utawasikia wakisema cha mbwa koko,hivi machogo wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ? Huwa siamini ila huishia na kuona ni siasa za CCM kutuvuruga kisha wakae bungeni kirahisi wakitutawala.

Ila Manyani yamemaliza miti sasa wanaparamiana wenyewe kwa wenyewe ni methali ya kiswahili sanifu hio.

Zanzibar wametoa Raisi mwenye kutenda haki habagui hii Tanganyika hii Zanzibar ,haki sawa kwa wote kama Nchi mbili zilizoungana na pia wametoa Mshindi wa Nobel Prize ,watanganyika si haba nao wametoa washindi wa sanaa wenyewe hujiita au huwaita wasanii.Humjui mwanamke wala mwananme wote ni wakata viuno. Na hawainjoi kama hawajafika Zanzibar sijui wanaiona kama Ulaya ? Yaani hata aende Singapore,dubai uarabuni lakini kama hajakanyaga Zanzibar huwa ndoto yake haijatimia. CCM inadumaza akili za wananchi kwa speedi ya mwendo kasi.

Rubbish
 
Alafu chief mshukuru sana malkia, maana ile haki sawa now mnaifurahia mpaka mwanamke kushika nyadhifa ya juu leo inaingia akilini na kusema Zanzibar imepaa.

Sasa ni hivi, nisikusikie tena unaanza kulalama kusema mwarabu (babu yenu) arudi tena Zanzibar, ilihali unafaham hao babu zako hawana mfumo pacha wa 50/50, wao mwanamke ni kaa ndani na kurusha kikapu dirishani.

Mfumo pacha wa malkia ndiyo sababu ya kufikia wewe kusema "M
siilinganishe Zanzibar na Tanganyika - Wazenji wapo mbali sana na sasa"
 
Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar...............
Kwa hiyi Jina la Tanganyika analishusha?
CCM inadumaza akili za wananchi kwa speedi ya mwendo kasi.
Rais Samia ametokea CCM, quote ya hapo juu unamsifia kuipaisha Zanzibar, halafu quote hii unasema CCM inadumaza - contradiction!
 
Kubalini kuitwa machogo ,hamna budi maana nasi tukishuka pale feri mnatuita wapemba,hatuoni aibu na tunajinasibu japo tunatokea makunduchi.

haijalishi kachaguliwa au hakuchaguliwa,Katiba imetoa haki hio ,na hata kama mkifanya noma au kampeni asipite ili mpate kuongozwa na Chogo mwenzenu basi nae hatachukua Muda atakwenda na maji. Mpaka kieleweke. Chezea pemba wewew !
Tena hilo mlijue mkifanya uzembe kutaka au kulazimisha Raisi wa muungano lazima awe Chogo basi mjue ,mtamzika mtu,hatutanii kwa hilo ,ule mchanga tuliochota pale kaburini kwa Maalim Seif bado tunao na hauja expire ,si mmeona majuzi miCCM ilivyoadhirika kwenye tamasha la kufungua Taasii ya Maalim Seif.

Yaani kiti cha Uraisi kwa machogo kitakuwa moto kweli,MiCCM kaeni nacho mbali ,yaani mkiiba ,anaeshinda kwa wizi wa kura kisha ili awe Raisi ,basi si muda Mzanzibari anakuwa tena Raisi,
Uraisi wa zanzibar au Tanzania?
Kama ni Tanzania yupo hapo kwa sababu kuna watanganyika wamebariki uwepo
wake.
Ajabu miaka michache akija chogo kama mnavyo waita mtadai uhuru wenu tena
sijui nan atawasikiliza hii awamu ni kitanzi cha wa zanzibar na itaamua hatma yenu
japo hata mama enu hawezi amua hatma yenu bila wa tanganyika hao hao.
 
Back
Top Bottom