technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu.
Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!!
Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi.
Baada ya Kufa wakaanza kupeana fadhira za Urais kwa kuanzia Zanzibar
Karume alipewa urais, badae January akapewa uwaziri, Nape naye akapewa uenezi ccm na badae ubunge na uwaziri.
Bila aibu Ridhiwani alipewa ubunge uku baba yake akiwa Rais, Badae bila aibu Mke wa Kikwete akapewa ubunge.
Maajabu Kikwete alitaka kumlisisha Membe Urais.
Kwenye utawala wa Magufuli akawekwa Dotto James kwenye pesa zote za Nchi azisimamie.
Nasikia Waziri wa utawala Bora ana uhusiano wa karibu na Rais wa Sasa ( Undugu) Sina uhakika lakini na ili Ila kiukweli Kama tunategemea maendeleo kwa kuweka tu watu kisa tuna uhusino nao tusahau kuhusu maendeleo.
Ndugu zangu hakuna Nchi inayoendelea kwa kupeana fadhira kiasi hiki kwani watu Hawa uwa hawafanyi chochote kwa kuwa wanajua watakingiwa kifua.
Utashangaa kesho na kesho kutwa wakina Ridhiwani na Makamba wanapewa fadhira ya Urais na idara za usalama zipo sinawakenulia meno tu.
Vetting hakuna tufike sehemu tuwe serious bunge sio sehemu ya dampo la uchafu na takataka zote ni sehemu yakutunga sheria.
Uwalimu wa primary na kutunga sheria kwa kingereza wapi na wapi?.
TISS Ni wakati wa kusimama kidete hata kwenye ajira kwenye mawizara na BOT ni uchafu mtu kuna kipindi yalitolewa majina ya wafanyakazi wa BOT ni majonzi makubwa.
Mtoto wa Lowassa, Mtoto wa Sumaye, Mtoto wa nchimbi, Mtoto wa pinda na watoto wa wanasiasa kibao ndio wanaofanya Kazi BOT.
Undugu, Ukabila, Udini na kujuana Ni vitu ambavyo tunatakiwa kuviondoa Kama tunataka maendeleo.