Kama January Makamba ana mpango wa kugombea Urais 2030, namshauri akabatizwe kwa maji mengi mapema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,761
141,627
Namshauri tu kulingana na utamaduni wa CCM inaeleweka wazi baada ya Rais Samia kumaliza muhula wake wa pili 2030 atakayepokea kijiti ni mgombea kutoka kwa Wagalatia.

Hivyo namshauri January akate shauri mapema kama Joshua.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.
 
Samia mwisho wake ni 2025.

Kama anapenda urais mwaka 2025 akagombee kwao Zanzibar pamoja na Mwinyi ila huku Tanganyika hii bahati aliyopata ndio ya kwanza na ya mwisho.

Wazanzibari nafasi yao ni makamo wa rais tu na sio urais. Wawe tu wanaombea rais afe washike nchi kwa muda mfupi uliobaki.

Hilo ni moja, la pili, huyu mama uwezo wa kuongoza nchi hana. Sasa hivi kila kitu anasema anaenda kuomba, juzi akiwa arusha anaulizwa stendi anasema ataomba hela, madarasa alisema ameomba mahala hela, kila kitu anasema anaomba sehemu hela. Sasa Tanzania haina tofauti na Afghanistan, ni omba omba wa kila kitu.

Haiwezekani unaongoza nchi kwa kuomba omba. Mkapa aliwahi kusema, utegemezi hudumaza na heshima inashuka ukiwa omba omba. Tanzania sasa imekua omba omba kwa vitu hata ambavyo tungeweza kufanya wenyewe. Ama huyu mama anaamini Wazungu wanatupenda saaana watanzania pale akiomba wanampatia?

Jana nimemsikia anasema aliamua kuwaondoa machinga eti kisa wazungu waliogopa kuja kwa sababu machinga wakikwapua pochi wanapotelea kwenye vibanda sio rahisi kupatikana ila sasa mtu akikwapua pochi ni rahisi kupatikana, yaani huyu mama anaamini watanzania wote ni wezi, kwamba machinga wote kazi yao ni kukwapua vipochi vya wazungu.

Tanganyika tukiendelea kuweka watu kama hawa madarakani basi maendeleo tutaendelea kuyasikia redioni.
 
Samia mwisho wake ni 2025.

Kama anapenda urais mwaka 2025 akagombee kwao Zanzibar pamoja na Mwinyi ila huku Tanganyika hii bahati aliyopata ndio ya kwanza na ya mwisho.

Wazanzibari nafasi yao ni makamo wa rais tu na sio urais. Wawe tu wanaombea rais afe washike nchi kwa muda mfupi uliobaki.
wewe ni taahira siku zote
 
Namshauri tu kulingana na utamaduni wa CCM inaeleweka wazi baada ya Rais Samia kumaliza muhula wake wa pili 2030 atakayepokea kijiti ni mgombea kutoka kwa Wagalatia.

Hivyo namshauri January akate shauri mapema kama Joshua.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ha! Ha! Ha! labda wewe ukisema atasikia na kuelewa

After Samia anaefuata must be Christian (Mkristo)....tena watu wanauchungu John hakumaliza miaka yake 10 ya uraisi
 
Ha! Ha! Ha! labda wewe ukisema atasikia na kuelewa

After Samia anaefuata must be Christian (Mkristo)....tena watu wanauchungu John hakumaliza miaka yake 10 ya uraisi
Ndio hivyo tena......ninachosikitika upande wetu wa christian ni huwa hatuandai vijana mpaka wajiandae wenyewe....unakuta hatuna banks ya kutosha ya watu watakao kuwa viongozi baadae..... Ila upande wa pili wanajitahidi sema vijana wao hawako makini.....
 
Makonda alikuwa kipenzi cha viongozi wa Kanisa!
 
Ww mbona muongo hivi....toka lini january akawa mvaa rozari......mchekini mwigulu vizuri ndio material tegemewa upande wa kaisari....hatujapata mtu mwingine....nyie endeleeni kumzarau hivyohivyo lakin kuna jambo kwake
Mwigulu ni mlokole yuko madhehebu ya gwajima na mzee wa upako
 
Mwigulu ni mlokole yuko madhehebu ya gwajima na mzee wa upako
Mwigulu ni mkaisari yule....kwa uzoefu wangu ni kwamba ili uwe presidar ni lazima uwe umehudumu angalau miaka 15 kwenye mabaraza ya serikali .... Sasa itakuwa ngumu kumpata mtu mwingine upande wa kaisari....kuna thread ya comparison humu Jf...kuhusu mwingulu na january....na mataifa makubwa mawili kinzani duniani kila moja yamewekeza kwa mtu wao...credit nyingi zilielekea kwa mwigulu
 
Back
Top Bottom