The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius.
Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana chini yake aliunda taasisi nyingi sana ambazo zinafanya kazi mpaka sasa mf, TRA,TAKUKURU,TANROADS,CAG nk.
Zipo changamoto ambazo kwa namna zinavyotatuliwa sasa hata kama huna akili unajua huu ni utatuzi kwa mfumo wa zimamoto.
Mf ishu kama za upungufu wa madawati ujenzi wa madarasa unaopigiwa debe kwa sasa unaweza ukadhani tatizo litaisha ila kwa kuwa hatujayaweka kitaasisi utasikia baada ya miaka miwili tunaambiwa kuna upungufu wa madawati na madarasa.