Waziri Makamba kama shida ni Crane, Watanzania wanasema zipo Maji yajazwe bila kuchelewa

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
442
1,000
Kama Bwawa liko tayari na Mifuniko ipo tatizo pekee ni Crane Watanzania mbalimbali wameshasema Crane zipo. Maji yaanze kujazwa haraka

Tunajua unataka kuanza kujaza baada ya mvua kuanza ili Mwakani tuwe na tatizo la umeme kwa kisingizio cha Ukame hatutawakubalia.

Usalama wa Taifa wana wajibu mkubwa sana katika hili
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,814
2,000
Makamba anasema wameagiza hizo crane toka nje kwasababu zilihitajika za kuchimbia chini ila hazikuwepo hapa nchini, sasa sitaki kujua kama kweli hazikuwepo, ila kama alijua zinaweza kuagizwa toka nje kwanini akasema ile kazi isingewezekana kufanyika tena?

Makamba akiitwa mwizi asilalamike, ujanja ujanja wake akidhani hiki ni kizazi cha mwaka 47 kinadanganyika hovyo auache, tena kwa kauli zake, unyeti wa wizara yake, na rekodi yake ya nyuma ndio atafuatiliwa zaidi kwa kila atakachosema na kutenda, awe makini sana.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,832

Israel mtoto huchukua kabila la mama!
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,350
2,000
Zipo TPA, TICs 30 +++ Tones, CSI, Caspian na makampuni mengi yanazo, hitaji 26 tons
Screenshot_20211114-101209.jpg

View attachment 2009947
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
4,315
2,000
Makamba anasema wameagiza hizo crane toka nje kwasababu zilihitajika za kuchimbia chini ila hazikuwepo hapa nchini, sasa sitaki kujua kama kweli hazikuwepo, ila kama alijua zinaweza kuagizwa toka nje kwanini akasema ile kazi isingewezekana kufanyika tena?

Makamba akiitwa mwizi asilalamike, ujanja ujanja wake akidhani hiki ni kizazi cha mwaka 47 kinadanganyika hovyo auache, tena kwa kauli zake, unyeti wa wizara yake, na rekodi yake ya nyuma ndio atafuatiliwa zaidi kwa kila atakachosema na kutenda, awe makini sana.
Mi sijaelewa bado hizo crane anazosema zinatakiwa ni crane zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,486
2,000
Makamba anasema wameagiza hizo crane toka nje kwasababu zilihitajika za kuchimbia chini ila hazikuwepo hapa nchini, sasa sitaki kujua kama kweli hazikuwepo, ila kama alijua zinaweza kuagizwa toka nje kwanini akasema ile kazi isingewezekana kufanyika tena?

Makamba akiitwa mwizi asilalamike, ujanja ujanja wake akidhani hiki ni kizazi cha mwaka 47 kinadanganyika hovyo auache, tena kwa kauli zake, unyeti wa wizara yake, na rekodi yake ya nyuma ndio atafuatiliwa zaidi kwa kila atakachosema na kutenda, awe makini sana.
Kwani hawakujua Kama Kuna muda hizo Cranes za kuchimbia zitahitajika, mbn kama wamestukizwa hivi au ndo anataka atafute hela ya Kampeni 2025
 
NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,854
2,000
Makamba angezungumzia kwa ufasaha kuhusu configuration za hayo magati - angeeleweka. Labba zina awkward shape na volume - lakini kama anasema uzito ndio tatizo, amekosea sana na si busara kuchelewesha kazi kwa miezi 6 kutokana na tatizo linaloweza kumalizwa sasa hivi.

Akisema urefu wa crane naweza kumwelewa. Kuwa kwa sababu ya kina kirefu cha njia ya mto mbadala, inahitajika crane yenye sema mita 70. Huenda hiyo ndio changamoto. Sio uzito!

Lakini inakuwaje pia uagizwaji wa crane husikia haukufanywa mapema?? Kwa sababu mahitaji yake yalikuwepo toka wakati wa hatua za mwanzo kabisa ya uchorajo wa mradi. Au mkandarasi hajalipwa na mradi unasuasua na maelezo ya uongo yanapaswa kutolewa??? Nakumbuka maneno ya Makamu wa Rais “…….. kuna viongozi wa CCM wanakwamisha mtadi wa Bwawa la Nyerere….”
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
805
1,000
Hivi hizo crane hazipo kwenye plan ya mradi?

Kwa hiyo mkandarasi hakujua kwamba kuna wakati crane zitahitajika?

Makamba aache kutufunga kamba!
 
SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
580
1,000
Makamba angezungumzia kwa ufasaha kuhusu configuration za hayo magati - angeeleweka. Labba zina awkward shape na volume - lakini kama anasema uzito ndio tatizo, amekosea sana na si busara kuchelewesha kazi kwa miezi 6 kutokana na tatizo linaloweza kumalizwa sasa hivi.

Akisema urefu wa crane naweza kumwelewa. Kuwa kwa sababu ya kina kirefu cha njia ya mto mbadala, inahitajika crane yenye sema mita 70. Huenda hiyo ndio changamoto. Sio uzito!

Lakini inakuwaje pia uagizwaji wa crane husikia haukufanywa mapema?? Kwa sababu mahitaji yake yalikuwepo toka wakati wa hatua za mwanzo kabisa ya uchorajo wa mradi. Au mkandarasi hajalipwa na mradi unasuasua na maelezo ya uongo yanapaswa kutolewa??? Nakumbuka maneno ya Makamu wa Rais “…….. kuna viongozi wa CCM wanakwamisha mtadi wa Bwawa la Nyerere….”
Kwa uelewa wangu, hydro electric dam inahitaji permanent crane, sio hizi movable cranes wanazopost wabongo. Nadhani factors kama idadi ya hayo mageti, urefu wa kuyanyenyua pia unazingatiwa.

Pia kwa utaalam wangu wa ujenzi, naamini hiyo crane ni sehemu ya structural design ya hilo bwawa. Ukileta movable crane, maana yake ni kua unaweka mzigo mahala ambapo sio pake. Tani 26 sio mchezo. Mnaweza jikuta mnaanza kuziba nyufa kwenye bwawa!

Ndio maana wanataka permanent crane, ambayo ni sehemu ya structural design kwenye hilo bwawa.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,719

So wakati wanaanza ujenzi hawakujua kuwa zitahitajika wakaagiza?
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,591
2,000
Nimeisikiliza ile video jamaa anamajibu mengi sana ya kukatisha tamaa watanzania kuhusu ule mradi.

Kifupi ni kama analazimishwa kukamilisha ule mradi.
 
Ibrahim_

Member
Aug 13, 2019
87
150
Basically crane zinazoongelewa hapa ni kama zile zilizopo mtera, ni inbuilt structure. Sasa inaonekana kulikuwa na uwezekano wa kuanza kujaza maji tarehe 15 November 2021, na kalemani alijua hilo. Sasa Makamba anasema hajui hata ni lini wataanza kujaza maji, which to me is a vague statement isiyopaswa kutolewa na Waziri. Na naamini kila kitu kipo kwenye project schedule. So much question still remain unanswered. Ngoja tusubiri
images%20(1).jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom