Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,787
2,000
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,787
2,000
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo 🙂

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA😂😂😂

Dunia hii, kuwa uyaone.
 
Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
2,408
2,000
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Mwache mama ashindwe ku perform ndo atajua maana ya upinzani na chadema Kwa ujumla ilimradi washasema mapema alikuwa mchapakazi.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
42,857
2,000
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo 🙂

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA😂😂😂

Dunia hii, kuwa uyaone.

Mama anawajua hila zao.
Waliposusa Bunge la katiba .
Ana wa enjoy tu
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,215
2,000
Ukiona mtu yupo juu ya gari anahutubia na anakula mahindi jua huyo ni tapeli
Alivyokua akiwahadaa, wanyonge wake..
IMG_20210409_174809.jpg
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
5,661
2,000
Kama hutaki Mbowe asifiwe unatakiwa useme yapi aliyozungumza jana ni uongo, uje na ushahidi, sema Mbowe kakosea wapi na kwanini? vinginevyo unataka kulazimisha watu wafikirie unavyotaka wewe wakati mwenyewe haupo sahihi, umeandika hii kwa ubinafsi wako na chuki zisizo na sababu kwa Mbowe.

Unajisifu na fikra huru kivipi wakati kimsingi unaleta udikteta wa kutaka kutawala fikra za wenzio? wacha utoto.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom