Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,379
4,899
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
 
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini....lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Bado unaishi awamu ya meko ya kupigana pini
 
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Hizo taarifa hazijapingwa kwahiyo watanzania tunajua kuwa ccm siyo chama rafiki wa wananchi
 
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Hao waliobakwa (kma ni kweli) ni watoto wadogo? Kama hawajalalamika basi walikubaliana. Na ndivyo ilivyo kwa viongozi wengi wa CCM wanawake. Wako tayari kuhonga ngono ili malengo yao yatimie.
 
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
mbona umechelewa sana kujua tabia za ccm ?
 
kwahiyo wewe ulitaka azibwe mdomo asiseme?

Umoja wa Wanawake Tanzania ulimkuza Membe, wee endelea tu kumchokoza azidi kunuka.
 
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Kama waliweza kubaka uchaguzi hao vibwengo Akili zao zikiongozwa na division zero za akina kingae na Mahita watashindwa kuwala tigo hao wenzao?
 
Back
Top Bottom