Afadhali ubadilikeAman iwe nanyi wapendwa
Naomba kujua kwanini maalim seif akifukuzwa uanachama wa chama na hayat mwalimu julius nyerere?
Je alikosa kitu gan aisee?
Wajuz naomba mshushe nondo za jufa mtu ili nipate kujua
LONDON BABY
Ha ha ha!Duh wanini tena huyo
Aman iwe nanyi wapendwa
Naomba kujua kwanini maalim seif akifukuzwa uanachama wa chama na hayat mwalimu julius nyerere?
Je alikosa kitu gan aisee?
Wajuz naomba mshushe nondo za jufa mtu ili nipate kujua
LONDON BABY
Kwahiyo kumbe naye ni mhun kama wahun wengine tutafuta hiki kitabu utapata majibu yko kifupi tu. maalim seif baada kufanya usaliti kwa mzee jumbe akitegemea malipo ya kupewa urais wa Zanzibar. Alivyojimwa urais ndio akajifanya mwanaharakati na kutaka kuitoa Zanzibar kwenye dhuruma ya muungano ikabidi afukunzwe CCM...![]()
Sina hakika sna khs ilo ila ni msaliti km yule prof wa uchumi tu...Kwahiyo kumbe naye ni mhun kama wahun wengine tu
ukibadilisha fikra Na mtazamoHahaaaa naiman utabadilisha mawazo mkuu
Dah comment nyingine zinafurahisha sana. Mimi sijui kama Maalim Seif alifukuzwa ila baada ya kumchoma Alhaj Jumbe (RIP) alikuwa na uhakika yeye ndo atakuwa rais wa ZNZ. Nyerere alikuwa na maono ya mbali pamoja na kazi ya Maalim lakini aliona nguvu aliyoitumia Maalim kuutaka urais na akampotezea ndo Maalim akauvaa Ulowassa na akawa mpinzani na kwa sasa picha ya Maalim inajulikana.Kwani Bujibuji ndo alikuwa na mwalimu nyerere wakati Maalimu anafukuzwa?
Mjumbe hafi... ingia hii link uone watu wanavyo kudisAman iwe nanyi wapendwa
Naomba kujua kwanini maalim seif akifukuzwa uanachama wa chama na hayat mwalimu julius nyerere?
Je alikosa kitu gan aisee?
Wajuz naomba mshushe nondo za jufa mtu ili nipate kujua
LONDON BABY