Nawaza tu: Huenda Sabaya hatomaliza kifungo cha miaka 30

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,037
20,333
Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari.
Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela.
Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi.
Je, unazani hakuna watu nyuma ya Sabaya? Kama wapo unazani watamuacha Muda wote huo? Jibu ni hapana najua unajiuliza kuwa watafanya nini na hukumu ishatoka.
Basi Mimi najaribu kuwaza huenda sabaya atakaa Jela miaka michache sana nijaribu kuassume hata miaka 10 Japo sipo sahihi harafu kutatokea na msamaha wa Rais na hapo Sabaya anaweza kutoka.

Hayo ni mawazo tu.
 
Mkuu huyo keshazidiwa Kwa asilimi 99.

Hapo ponapona yake ni system iwe upande wake hasa Rais aliyepo madarakani.

Vinginevyo Ngoma inalala hivyo hivyo,

Wakate Rufaa, lakini mpaka kufikia hapo mzani ushalala huo
 
Kweli ndio maana nikamaliza kwa kusema inaweza tokea msamaha wa Rais aliye madarakani kipindi hicho haijalishi kipindi hiki au kijacho.
 
Msamaha wa rais haujawa kwenye wabakaji au majambazi wa kutumia silaha.

Ya Mungu mengi. Labda utapewa msamiati mpya.
 
Kweli unaweza shangaa anakaa miaka 2 harafu msamaha wa namna yake unatoka.
 
Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawatu na neno huenda ndilo mpigie mstari.
Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela.
Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi.
Je, unazani hakuna watu nyuma ya Sabaya? Kama wapo unazani watamuacha Muda wote huo? Jibu ni hapana najua unajuliza kuwa watafanya nini na hukumu ishatoka.
Basi Mimi najaribu kuwaza huenda sabaya atakaa Jela miaka michache sana nijaribu kuassume hata miaka 10 Japo sipo sahihi harafu kutatokea na msamaha wa Rais na hapo Sabaya anaweza kutoka.

Hayo ni mawazo tu.
Mkuu haya mambo ya kichama zaidi
 
hivi inakuwaje mtu unawaza kitu from nowhere? mi nkajua labda kuna kitu unafahamu au umekisikia
 
Kweli unaweza shangaa anakaa miaka 2 harafu msamaha wa namna yake unatoka.

Wafanye lolote, hiyo sasa haituhusu. Kwamba huyu ni condemned criminal inatosha sana.

Mengine ni sawa na ya akina Mghwira anastaafishwa kwa umri lakini Makongoro anateuliwa kuanza post hiyo hiyo kwa umri huo huo 😁😁.

Wacha wafanye yote - ila mahakamani (chonde chonde) ushahidi na sheria vizingatiwe.

Tusitafutane uchawi.
 
Wafanye lolote, hiyo sasa haituhusu. Kwamba huyu ni condemned criminal inatosha sana.

Mengine si sawa na ya akina Mghwira anastaafishwa kwa umri lakini Makongoro anateuliwa kuanza post hiyo hiyo kwa umri huo huo 😁😁.

Wacha wafanye yote - ila mahakamani (chonde chonde) ushahidi na sheria vizingatiwe.

Tusitafutane uchawi.
Umemaliza kabisa kilicho baki ni maoni yako kuchukuliwa uzito.
 
Mimi naamini ile hukumu Ni kiini macho tu.

Kwenye rufaa wanaenda kumtoa hao hao waliosema ashtakiwe.

Ni kesi tu ya kuwapoza wahanga wake machungu.

Tusubiri!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom