Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
309
1,000
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.

Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi wanaenda na ni wapi wametoka, maaafisa wa mahakama nao inaonekana wameingia kwenye mambo haya. Yaani mambo ni shaghala baghala.Mbaya zaidi nao wamekutana na mawakili wa upande wa Utetezi nao wako makini sana na hii ndiyo shida inayowapata.

Mhe DPP bado unayo nafasi ya kutosha kuliepushia taifa letu na aibu inayoendelea sasa mahakamani. Ukisema usubiri mpaka mwisho huenda mambo yakaharibika zaidi.
 
kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,028
2,000
Mashahidi wa serikali wana andikiwa majibu kwenye diary. Inansikitisha sana.
Huu upunguani wa kikundi Fulani waliandaa hii project sasa wanaenda kufanya na wengine na wengine hadi muhimili mwingine wa mahakama kwa desturi ndio uliobakia wa heshima Sasa kudhalaulika kwa kwa sinema ya kutungwa na mapolisi na mamluki wasio na weledi wanajiita kutokea idara.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,064
2,000
Kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,628
2,000
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.
Yaani unajidanganya ni wapi wanajichanganya hao mashahidi juwa kuulizwa swali ambalo hukulitegemea inataka moyosana na wanajitahidi kuyajibu lakini huo ubabaishaji wanaotumia kina kibatala wakili asiye na elimu ya kutosha hakisaidii kinacho matter ni alichokisema tu je kina uhalisia na ukiangalia mashahidi wanatoa ushahidi konkiiii Mbowe jela miaka 60
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,628
2,000
Kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Mkuu waambie hao wanafikiri watu wote hawana akili na Kibatala anawazingua tu hakuna la maana analoliongea humo mahakamani
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
31,837
2,000
Mashahidi wa serikali wana andikiwa majibu kwenye diary. Inansikitisha sana.
Oh my..oh my Allah lini tena?
mindblown.png
 
Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
4,212
2,000
Yaani unajidanganya ni wapi wanajichanganya hao mashahidi juwa kuulizwa swali ambalo hukulitegemea inataka moyosana na wanajitahidi kuyajibu lakini huo ubabaishaji wanaotumia kina kibatala wakili asiye na elimu ya kutosha hakisaidii kinacho matter ni alichokisema tu je kina uhalisia na ukiangalia mashahidi wanatoa ushahidi konkiiii Mbowe jela miaka 60
Wewe mwenye elimu ya kutosha nenda kawe wakili wa serikali na uoone moto wake haya kachukue buku7 au siku hizi hazipo maana hata polepole analia kama jogoo aliekosa mtetea
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,064
2,000
mkuu waambie hao wanafikiri watu wote hawana akili nas kibatala anawazingua tu hakuna la maana analoliongea humo mahakamani
Na kati ya mawakili waliofeli kuwaajili, kibatala. kwanza hanaga hekima na professionalism ya sheria, ana hasira na analeta siasa tu. anawadanganya wengi ambao hawajui sheria na procedure za mahakamani kwa mambo ambayo hayaamui kesi na ndiyo wanayomshangilia nayo. subiri kesi iishe, si lazima itarushwa humu judgment yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom