Maneno ya Mwalimu Nyerere: Watanzania uchumi mnaukalia

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji.

Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700

Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji tokea iumbwe Dunia

Tuna gesi isiyomalizika Mtwara huko

Kuna nchi hazina mvua hazina mito hazijawahi kuzima Umeme tokea waanze kuujua - Wanatumia gesi Tanzania tunashindwa wapi
Kuna nchi hawajui maji kufungwa au kuwa hayatoki kwenye majumba yao tokea waungishe wanatumia maji ya bahari, mitambo midogo tu iliyofungwa kando kando ya bahari inanywesha nchi nzima.

Mnaenda kununua mindege kibao wakati umeme wa kuendeshea rada hamna ,si mnatafuta kuuwa watu

Maneno ya Mwalimu Nyerere Uchumi mmeukalia hayana kasoro ni kweli kabisa WaTz uchumi wameukalia

Umeme wa gesi ni wa uhakika kuliko wa Mvua

Maji ndio tuna maporomoko kila rangi kwenye zana hakuna wajenzi ndio tunaona wana- danganyana.
 
Back
Top Bottom