Misafara ya viongozi ni hasara kwa taifa maskini kama Tanzania

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,789
14,873
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.

Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
 
Sema ni matumizi mabaya ya pesa ila wakati mwingine ni sawa wacha watu wajipatie mshahara na posho.

Kipindi iko najoin misafara ya viongozi zile speed unasikia vibe tuu kwa gari
 
Wasiwazuie wengine nao wanaotaka kula kwa urefu wa kamba zao ndio maana mleta uzi anasema zitumike chopa ila watu wasisimamishiwe shughuli zao muda mrefu.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake,tuwaache walepo
 
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.

Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
Kazi iendelee mama anaupiga mwingi sana acha akazindue bandari bagamoyo
 
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.

Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
Kipimo cha dhahabu ni moto, kipimo cha mwanadamu ni shida.
 
Uk.jpg
 
Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii
Utahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.

Hata hivyo, siungi mkono msafara mrefu namna hiyo kama unatumiwa mara nyingi kwa mwezi katika eneo moja.
 
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.

Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
hio ni upande wa muda tu. gharama halisi ya misafara utadwaa
 
Utahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.

Hata hivyo, siungi mkono msafara mrefu namna hiyo kama unatumiwa mara nyingi kwa mwezi katika eneo moja.
why africa?
 
Back
Top Bottom