Maafisa wapya wa JWTZ wanaapishwa Ikulu Dar es Salaam leo na siyo Monduli

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
Leo asubuhi nilitaka kupita njia ya Ikulu ya huku baharini nikakuta imefungwa, kumbe kuna Maafisa wa JWTZ (Officer Cadets) wanakula kiapo leo na kuwa Maluteni usu. Hii shughuli ndo kwa mara ya kwanza inafanyikia Ikulu, nasikia huwa miaka yote ya nyuma hufanyika Monduli Arusha.

Hivyo mnaotaka kutumia njia hiyo imefungwa kwa sasa.

============

Kipindi Mubashara TBC1 ni hafla ya kutunuku kamisheni kwa maafisa 194 wa JWTZ. Kwa kuwa mafunzo ya kamisheni yamefanyika Monduli na kuhitimishwa kwa hafla fupi ya kukamilisha utoaji wa kamisheni kwa Maafisa hao wa JWTZ katika viwanja vya Ikulu Magogoni.

Je, utaratibu huu wa kutoa kamisheni kwa maafisa wa JWTZ kufanyika Ikulu ni utaratibu mpya badala ya Rais kwenda Monduli kulikofanyika mafunzo au ni kubana matumizi kwa safari ambayo angeenda Monduli?
86b554ecb7b4d2b8f1fb26a34a442ad4.jpg

40b79aee278d96a75131784582cf2e95.jpg
 
Ujumbe ni wanaotaka kutumia njia hiyo imefungwa..msiunganishe mambo ya utawala awamu hii kuwa Karibu na jeshi na kufunga hiyo njia.
 
Leo asubuhi nilitaka kupita njia ya Ikulu ya huku baharini nikakuta imefungwa, kumbe kuna Maafisa wa JWTZ (Officer Cadets) wanakula kiapo leo na kuwa Maluteni usu. Hii shughuli ndo kwa mara ya kwanza inafanyikia ikulu nasikia huwa miaka yote ya nyuma hufanyika Monduli Arusha.

Hivyo mnaotaka kutumia njia hiyo imefungwa kwa sasa.
Kuna tatizo la kiutendaji hapa si bure hata kama ni kukwepa gharama basi ingefanyika Mugulani, Lugalo au kule Mbweni JKT najaribu tu kufikiria kwa sauti
 
Leo asubuhi nilitaka kupita njia ya Ikulu ya huku baharini nikakuta imefungwa, kumbe kuna Maafisa wa JWTZ (Officer Cadets) wanakula kiapo leo na kuwa Maluteni usu. Hii shughuli ndo kwa mara ya kwanza inafanyikia ikulu nasikia huwa miaka yote ya nyuma hufanyika Monduli Arusha.

Hivyo mnaotaka kutumia njia hiyo imefungwa kwa sasa.

Ikulu ni ofisi ya umma
 
Ujumbe ni wanaotaka kutumia njia hiyo imefungwa..msiunganishe mambo ya utawala awamu hii kuwa Karibu na jeshi na kufunga hiyo njia.
Unaonaje ukianzisha uzi wako mkuu useme unachotaka kusema!mimi lengo langu ni kuwajulisha wadau wanaotumia njia hyo wasisumbuke kupita huko na kuwahabarisha nini kinaendelea leo katika viwanja vya ikulu,kwani ni mara ya kwanza hyo barabara inafungwa kwa shughuli za kiserikali acha hii ya leo?!think positive!!
 
Na mimi ndo hapo nimekazia mkuu.watu wasielewe vibaya...labda tumeelewana vibaya.
 
Leo asubuhi nilitaka kupita njia ya Ikulu ya huku baharini nikakuta imefungwa, kumbe kuna Maafisa wa JWTZ (Officer Cadets) wanakula kiapo leo na kuwa Maluteni usu. Hii shughuli ndo kwa mara ya kwanza inafanyikia ikulu nasikia huwa miaka yote ya nyuma hufanyika Monduli Arusha.

Hivyo mnaotaka kutumia njia hiyo imefungwa kwa sasa.
Usilolijua kwako ni usiku wa giza, umeshasema maafisa maana yake tayari walishapata nyota zao za kwanza Monduli.
 
Leo asubuhi nilitaka kupita njia ya Ikulu ya huku baharini nikakuta imefungwa, kumbe kuna Maafisa wa JWTZ (Officer Cadets) wanakula kiapo leo na kuwa Maluteni usu. Hii shughuli ndo kwa mara ya kwanza inafanyikia ikulu nasikia huwa miaka yote ya nyuma hufanyika Monduli Arusha.

Hivyo mnaotaka kutumia njia hiyo imefungwa kwa sasa.

Asante mamaangu tumekupata
 
Back
Top Bottom