Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili.
Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo.
Wengi mtajiuliza nini chanzo cha mfumo wa elimu wa vipaji maalumu. Hii ni theory ambayo wana philosophy waliielezea ktk msingi wa elimu ni maana ya elimu na kwanini serikali inawajibu kusomesha watu wake kwa gharama kubwa.
Kama hujuwi elimu yakuwatenga wanafunzi ktk groups na kuwa na watu wenye vipaji maalumu nia yake kuu nikuwatengeneza watu ambao watafanya kazi maalumu ktk serikali. Usipo kuwa na mfumo mzuri kujuwa hazina ya genius ktk taifa lako nikuiweka serikali ktk mtanziko mkubwa pasipo kujuwa.
Watu wenye akili ni watu hatari kuliko bom la nyukilia maana akili ndio silaha ya mwisho kumuangamiza adui.
Mataifa makubwa kama Germany, USA, Israel, Canada, China,Japan, Russia nk ni moja ya mataifa yana elimisha watu wao na kutumia vyema human capital. Taifa kama USA wana kitu kinaitwa green card hii, hii card kuipata lazima uwe umefanya kitu kwao yani ukiwa na talent hii card kuipata ni rahisi sana. Why ref human capital.
Ipo story ya ajabu sana na yakutisha kuhusu human capita and how they can change the nation.
Taifa la Israel. Ndugu yangu kama unataka kujuwa nguvu ya akili nakuomba ujifunze kwa hili taifa. Naomba usome nakusoma jinsi lilivyo anzishwa navile nguvu ya akili imewafanya kuwa Taifa lenye nguvu na kutisha hata mataifa makubwa.
Hawa jamaa system yao imejaa elites aka people with high IQ na usije jichanganya.
Nitaifa kuanzia Rais na viongozi wote wa juu ni watu wenye talent na wapo sehem maalumu kwa kazi maalum.
Nchi zetu za Africa na hasa Tz kwa sasa tunacheza na hii theory tukiamini majeshi yetu na vyombo vya ulinzi ndio silaha kupambana na watu. Na hii inathibitishwa na Prof Lumumba aliposema ktk Africa mtu mwenye akili akionekana basi hutafutiwa visa wamuuwe wakati kwa nchi za ulaya na Marekani wanamlinda na kumpa mahitaji yake yakielimu afike mahali pakulisaidia taifa. Sote ni mashaidi wanafunzi wenye akili na uwezo wa ziada ktk masomo wapo walio fanikiwa ila wapo waliojikuta ktk mtego na kupoteza raman kwasababu yakuuliza jambo au kuwa kinyume na walimu wao au viongozi.
Wapo vijana wamekufa silence wapo vijana wameingia kwenye urabu wa pombe na bangi ila walikuwa genius.
Mungu ametufundisha na kutuumbua kupitia Barack Obama. Baba yake alikuwa ni mchumi mwenye akili lakini Ubaguzi na chuki vikamkuta baba yake Obama jambo lilimfanya kuwa mlevi wakupindukia mwisho umauti.
Nini kilimkuta.. Baba yake Obama alikuwa natoka kwenye kabila lililokuwa halisaminiwi kule Kenya yani wajaluwo. Kama ulikuwa hujuwi Kenya wanamakabila kadhaa ila Kikuyu na Jaluo ndio wanawindana. Baba yake Kenyata wa sasa ni Kikuyu while Obama alikuwa Mjaluwo nini kilimkuta mtafute