Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao. Je, wakija taka...
0 Reactions
5 Replies
851 Views
Binafsi naamini tunasherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika ambayo leo haipo bali tuna Tanzania. Ukisema kwa mfano miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika unamaanisha nini? Tanzania ina...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakumbuka tulitangaziwa mkutano wa kujenga mahusiano mema kati ya polisi na vyama vya siasa ulioandaliwa na Msajili Jaji mstaafu Mutungi. Je, mkutano huu ulishafanyika? Maendeleo hayana vyama!
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa. Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuhusu mahojiano yayaliyofanyika kati ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula na Gazeti la UHURU mimi najikita kwenye dhima ya Mahojiano hasa ya maoni Mzee Mangula kuhusu ujenzi wa bandari...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama mjuavyo ndugu zanguni wahenga wana msemo wao usemao neno "ningejua huja mwisho wa jambo" Nimetafakari sana hali ya kimaisha inavyoenenda nikaona kabisa iko haja ya kupitia upya mienendo...
2 Reactions
15 Replies
908 Views
Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda...
11 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
"Mimi sikubaliani na suala la mtoto aliyepata ujauzito kurudi shule hata kidogo, hii ni kwa sababu ya Mila, desturi, utamaduni na mazingira pamoja na dini, hakuna dini yoyote inaruhusu mtoto wa...
17 Reactions
78 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Kwa maslahi mapana ya Taifa na chama changu ninaona kuna mambo hayajakaa sawa. Idara yetu ya mambo ya nje na wasaidizi wa Ikulu wanafurahia posho za safari na vikao lakini hawampi...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Nimepita kijiji au tuseme mji wa Lupaso kiukweli hali yao ya kimaendeleo ni ya kawaida kabisa. Ahsante Wana Lupaso kwa ukarimu wenu. RIP Mkapa. Maendeleo hayana vyama!
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa. Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari! Rushwa si tabia ya mtu ya kuzaliwa nayo, Rushwa inatengenezwa na mazingira. Hapa nazungumzia rushwa katika level ya utumishi wa umma. Kijana anaanza kazi ofisi ya umma analipwa laki 5...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni...
15 Reactions
37 Replies
4K Views
Bei ya mafuta ya petrol kupanda hadi kuvunja rekodi ya tangu tupate uhuru, leo hii kwa Dar ni sh 2510 kwa lita. Mgao wa umeme Mgao wa maji Kipanda kwa vifaa vya ujenzi Gharama za maisha Kupanda...
1 Reactions
6 Replies
983 Views
Ni vyema kesi ya Mbowe ikafutwa, Kuna mambo ya ulinzi mazito na siri yanaongelewa mahakamani ambayo wengi hatukufahamu Ushahidi unaonyesha maisha ya Askari wetu na haki zao zilivyo, Mambo ya...
18 Reactions
44 Replies
5K Views
Sitashangaa ikitokea namna yoyote Mbowe na wenzake wakawa huru na kurejea uraiani Popote pale duniani ili haki itendeke ni lazima Mungu aingilie kati, japo Chadema hawajafanya maombi maalumu kwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kufuatia kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake, kuna ujumbe unapelekwa kwa wananchi kuwa JWTZ inatengeneza magaidi. Ukimwacha Mh. Mbowe, washtakiwa wengine wote kwa tuhuma ya ugaidi ni...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…