Swali kwa Serikali ya Awamu ya Sita kuhusu fedha za ufadhili toka kwa wahisani

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,831
3,117
Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao.

Je, wakija taka kutupatia pesa kwa mashariti ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja tutazipokea?

Nawasilisha kwa unyenyekevu mkubwa sana
 
Kutakuwepo na mashariti mengi tu ikiwemo ku surrender raslimali zetu,hilo la ushoga ni sehemu tu ya hayo Mashariti
 
Hiyo ya wapenzi wa Jinsia moja mbona imeshapitishwa, vijana walio vujisha video zao hapa juzi umeona wamechukuliwa hatua yoyote kutoka kwenye mamlaka yoyote ile nchini hata kukemewa tu???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom