Ujumbe huu nauona kwenye mwenendo wa kesi ya Ugaidi ya Mbowe "Basi kuanzia muda ule Pilato akatafuta njia ya kumuachia..."

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Sitashangaa ikitokea namna yoyote Mbowe na wenzake wakawa huru na kurejea uraiani

Popote pale duniani ili haki itendeke ni lazima Mungu aingilie kati, japo Chadema hawajafanya maombi maalumu kwa ajili ya mwenyekiti wao lakini Freeman Mbowe na wenzake yawezekana wanaomba kama Paulo na Silla huko gerezani.

Malaika wa Mungu alimtokea mke wa Pilato ndotoni.

Kwanini hakumtokea Pilato mwenyewe?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
 
Bwashee hakika chama chakavu kimeishiwa pumzi
Sitashangaa ikitokea namna yoyote Mbowe na wenzake wakawa huru na kurejea uraiani

Popote pale duniani ili haki itendeke ni lazima Mungu aingilie kati, japo Chadema hawajafanya maombi maalumu kwa ajili ya mwenyekiti wao lakini Freeman Mbowe na wenzake yawezekana wanaomba kama Paulo na Silla huko gerezani.

Malaika wa Mungu alimtokea mke wa Pilato ndotoni.

Kwanini hakumtokea Pilato mwenyewe?!

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
 
Nikinukuu; "mimi ndie Rais wa Tanzania mwenye jinsia ya kike"

Hapo naona kuna hali fulani ya kujivimbisha na kuwaonesha wengine yeye ni nani, sioni hayo maneno yako yakitokea labda aone aibu dhamira yake imsute amuogope Mungu wake.
 
Sitashangaa ikitokea namna yoyote Mbowe na wenzake wakawa huru na kurejea uraiani

Popote pale duniani ili haki itendeke ni lazima Mungu aingilie kati, japo Chadema hawajafanya maombi maalumu kwa ajili ya mwenyekiti wao lakini Freeman Mbowe na wenzake yawezekana wanaomba kama Paulo na Silla huko gerezani.

Malaika wa Mungu alimtokea mke wa Pilato ndotoni.

Kwanini hakumtokea Pilato mwenyewe?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Malaika kakutokea wewe na wewe ni kama mke wa pilato?
 
Back
Top Bottom