Mji wa Lupaso umezidiwa na Machame ambao haujawahi kutoa Rais wala Waziri mkuu!

Rais Mkapa alioa uchagani akazidiwa akili na wachaga. Mimi nimeoa huko lakini nimekuwa mwangalifu sana. Chezea wachaga wewe!
Mimi pia nimeoa Uchagani, lakini kiukweli hawa wakina Bwashee walifunguka macho mapema sana. Kama ni kitangulia kimaendeleo na kiustaarabu kwa kuwalinganisha na jamii zingine, basi ninakiri wapo mbele sana.

Tunaweza kutafuta visingizio kuwa wanapendeleana, lakini ni vyema pia tukakubaliana na uwekezaji wa kielimu waliokwisha kuufanya kwa zaidi ya karne moja iliyopita. Nenda katika nyanja zote zenye kuhitaji wabobezi na wataalamu, utakuta ni wao ndiyo wenye wasifu usiotia shaka yoyote ile.

Nenda katika vyuo vyote makini vya kitaaluma, nenda katika madaktari bingwa, nenda katika masuala yoyote yale ya kiuweledi, kitaaluma, kibiashara, ama suala nzima la "competence" wao wapo hata miradi mikubwa ya tafiti za anga za mbali NASA pia wapo.

Tuache unafiki, aliyekutangulia kakutangulia tu. Roho mbaya hazisaidii kitu.
 
Ni mfumo wa maisha, jamii nyingi hazina ujamaa wala ushindani wa maendeleo!

kuna mahala ukipata basi unajitafutia matatizo!!! Pia Jografia ya eneo husika kule napo pembezoni mno japo zamani ndio kulikuaga kumeendelea mana pana mission.

pale labda kama Daraja la Mtambaswala lingepitia kwa njia ile kidogo ingekua afadhali ila ndo hivyo..
 
Rais Mkapa alioa uchagani akazidiwa akili na wachaga. Mimi nimeoa huko lakini nimekuwa mwangalifu sana. Chezea wachaga wewe!
Sasa wachaga tumekupa hadi mke ila chuki na wachaga tu hauzimalizi...wewe jamaa bana.
 
Rais Mkapa alioa uchagani akazidiwa akili na wachaga. Mimi nimeoa huko lakini nimekuwa mwangalifu sana. Chezea wachaga wewe!
Ndugu kuna baadhi ya maeneo ukijitia kimbelembele kupekeka maendeleo utaambiwa unajidai,mbaguzi,unajisikia hadi ulogwe.
 
Rais Mkapa alioa uchagani akazidiwa akili na wachaga. Mimi nimeoa huko lakini nimekuwa mwangalifu sana. Chezea wachaga wewe!
Wewe mwenyewe huwezi kujijua wanao kutizama ndiyo wanajua kama ulishazama topeni
 
Back
Top Bottom