Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais?
Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na...
Huyu jamaa Hana lolote la kutuaminisha, aache kuongea ongea, tunajua bhana how life goes, alichokifanya JPM Kila moja anajua bhana, kanunua midege, kajenga barabara za mtaa, kajenga majengo ya...
Moja za awamu iliyokuwa ya kibabe, ilikuwa fashion Viongozi kutisha wananchi wao.
Ajira kwa vijana ilikua changamoto sana.
Labda kwa mazingira ya kutiwa hofu na unawezwa fanywa lolote na magenge...
Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha.
Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na...
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze...
Jana kulifanyika ka tamasha pale leaders Club linaloitwa bata la Dar ambalo dhumuni kubwa ilikua kuongea na mama Samia
Tamasha lilibuniwa na Steve nyerere na baadhi ya viongozi huku wakitumia...
Waraka mfupi kwa wafanyakazi wote wa Serikali na Taasisi zote Nchini
Toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea kijiti ameanza na jambo moja la msingi nalo kurudisha mifumo ifanye kazi...
"Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la...
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua?
Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa.
Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa...
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa...
Kwa mara ya kwanza nimeona unajihami kwa kusema matatizo ya awamu zilizopita yanaangushiwa awamu yako hivyo hutakubali ,na utasimama upande wa wananchi.
Swali langu kwako ,hili la mfumuko wa...
Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana
Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho?
Ni matumaini...
Rais Samia amewapongeza wamiliki wa kiwanda cha RADDY Fiber ambao ni Watanzania wazawa kwa uwekezaji mkubwa walioufanya na kuitoa Tanzania kimasomaso.
Kiwanda cha Raddy Fiber ni miongoni mwa...
Kuwa kiongozi Tanzania ni kujitoa sadaka ya maisha yako watu hawapendi maendeleo.
Vikwazo hivi hapa.
Matajiri wala rushwa
Matajiri wauza madawa ya kulevya
Matajiri wakwepa kodi
Wanasiasa wala...
"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma...
Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular...
UKISIKIA WATU WANASEMA "mama Samia anaupiga Mwingi sana" HII NDIO MAANA YAKE
Na Mwandishi Wetu
11/09/2021
[emoji1241][emoji1241]
Jana Mama ametoa billion 50 kwa ajili ya kununua mahindi ya...
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.
Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.
Je, Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?
Je, Hata Wajumbe Wa...
DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo...
MAISHA:
Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu.
Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama...