Ndugu zangu,
Miezi ya hivi karibuni Waziri Makamba alitembelea nchi za ghuba zinazoongoza kwa uzalishaji wa mafuta ulimwenguni.Baada ya kurejea alituhakikishia kuwa mwezi Disemba mwaka huu mafuta...
Mwanasheria Msomi Fatma Karume amepinga kitendo cha kuwaandama na kuwasaka watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akisema kitendo hicho ni kuwanyima haki ya kuishi kwa amani.
Kupitia...
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu...
Profesa wa sayansi, uhasibu, hesabu au engineering hasomei kuzungumza siasa majukwaani bali anasomea fani yake.
Lakini pia Dokta wa sayansi, uhasibu, hesabu au engineering hasomei kuzungumza...
ABUU KAUTHAR
Moja ya msingi mkuu wa demokrasia ni mamlaka kwa umma. Ina maana, mamlaka yapo kwa wananchi ambao wamekasimu madaraka kwa viongozi waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki ili...
Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.
Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.
Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya...
Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa...
Huwa namfuatilia mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia huyu pamoja na Ubunge ni Naibu Spika ni msomi mzuri wa Sheria. Lakini kiukweli akili ya kisiasa hana kabisa toka anajindaa kuwa Mbunge mpaka...
NUKUU ZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA KIWANDA CHA RADDY FIBER (FIBER OPTIC CABLE) MKURANGA PWANI.
"Urasimu katika uwekezaji ni suala ambalo halina nafasi kwenye serikali hii...
Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa:
A. Kutokana na Ukaguzi maalumu katika ukusanyaji wa...
Katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Mashirika ya Umma, baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 35.96 ni kama;
a. Upotevu wa Tsh. bilioni 20.17 kutokana na kufutwa kwa madeni...
Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amekataa kupokea ekari 50 ambazo Serikali ya Mkoa wa Mbeya imezitoa kwa ajili ya ujenzi wa...
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?
Endeleeni na...
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la...
Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa
Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu.
Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa...
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga...
Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba...
Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao.
Je, wakija taka...
Binafsi naamini tunasherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika ambayo leo haipo bali tuna Tanzania.
Ukisema kwa mfano miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika unamaanisha nini? Tanzania ina...