Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219

hamisi_kigwangalla

SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma, Katavi na Tabora. Pichani wajumbe wa Sekretarieti hiyo wakizungumza katika kikao cha majumuisho mkoani Tabora. Kwa hakika Chama kimerudi kwa wenyewe. CC: Komredi @shaka_hamdu_shaka. #HK #KaziIendelee #SiasaNiVitendo

1637728008889.png

1637728060804.png

1637728092067.png


My take: Kwani Chama kilitekwa?
 
Subiri na huyu muda wake ukiisha wataanza kusema kichama kimerudi mahali pake
CCM lolote linawezekana Chief, ona jinsi wanavyompotezea mwenzao Sabaya as if walikuwa hawashangilii humu wakati anafanya ujambazi wake, Mahakamani huoni hata kijani moja.

Hakuna hata anayeitisha press kujaribu kumtetea, wote wanajifanya kujitenga na matendo yake! Wote ni mapambio kwa Mkiti! Wanafiki wachache ambao wameporwa ulaji wamebaki kutukana mitandaoni kwa Ids fake
 
CCM lolote linawezekana Chief, ona jinsi wanavyompotezea mwenzao Sabaya as if walikuwa hawashangilii humu wakati anafanya ujambazi wake, Mahakamani huoni hata kijani moja, Hakuna hata anayeitisha press kujaribu kumtetea, wote wanajifanya kujitenga na matendo yake! Wote ni mapambio kwa Mkiti! Wanafiki wachache ambao wameporwa ulaji wamebaki kutukana mitandaoni kwa Ids fake
CCM ni genge la wahuni tupu
 
Back
Top Bottom