RICHMOND walilipwa 152 mil kila siku for 2 yrs, Richomnd = DOWANS =185 bil again..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RICHMOND walilipwa 152 mil kila siku for 2 yrs, Richomnd = DOWANS =185 bil again..!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Jan 4, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,658
  Trophy Points: 280
  Uuuuwiiiiiii.....!!!! Watanzania & TZ nchi yangu, pole,
  Just to remind my fellow TZs, Richmond ilipewa Tshs 12.5bil na Treasury kama fedha za kusafirisha Power Turbines as initial capital meaning hata fedha za usafiri hawakuwa nayo.
  Then maajabu mengine for 2yrs tanesco ilikuwa inawalipa Richmond Tshs 152 Mil KILA SIKU
  that means 4.5bil monthly X 12 X 2yrs = Tshs 108 Bil zilishalipwa na Tanesco hadi mkataba
  kuvunjwa na Bunge 2008.
  Now Richmond after mkataba kuvujwa na kuonekana kampuni HEWA, wakapeana kienyeji (Inherited from Richmond)
  na DOWANS, maajabu tena leo DOWANS = Richmond wanaidai tena Tanesco 185 bil..?? wakati Tanesco walikuwa na mkataba na Richmond na ulivunjwa, KILA MTU anajua,
  tax payers money inavyochezewa, lazima wananchi waseme
  Basi, basi, basi, JK na serikali yako, umeme mmetupandishia, gharama za maisha tayari juu
  nauli za mabasi, etc
  Katiba mpya na pendekeza ISIWE na KINGA kwa kiongozi YEYOTE aliyefanya au kuliingizia hasara kubwa Taifa bila kushitakiwa mara moja as soon atakapo achia ngazi,
  IF CONVICTED SOON AFTER retirement must be held accountable, hii ni HATARI sana
  imagine hii ni Richmond = Dowans pekee, bado kwingineko, na bado hata Rais ana KIGUGUMIZI he seems willing to pay, to whom.??, a ghost may be..!?, inaumaa, Pole Watanzania
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Wakiongezewa hizi bilioni 94; mkataba uliokuwa wa dola milioni 172.5 unakaribia kulipika kabisa.. !

  KUtoka Bungeni:

  Mkiongeza na capacity charges na malipo haya ya sasa:... mnaweza kutetemekea Dowans by the end of the day watakuwa wamekomba kiasi gani!
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hivi waungwana kusema tumesema je kunafanyika kitu gani sasa maana watanzania tunasema sana ila vitendo hakuna.
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mzee wa vijisenti anasema hizi ni visenti tuu!!!
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  failure kubwa ya Nyerere ni kule kushindwa kujenga misingi imara ya uongozi isiyoyumbishwa na mtu aliyeko madarakani. Ingawa pamoja na mambo mengine Azimio la Arusha lilikuwa linajaribu kujenga misingi ya uongozi, halikuwa na nguvu ya kisheria na hivyo liliweza kumeguliwa kirahisi sna na mkutano wa siku moja tu kule Zanzibar. Utawala wake ulitegemea sana ni nani aliyeko madarakani, na alipokuwa akikampeini kuhusu Mkapa, alisahahu kuwa Mkapa naye ni binadamau anayeweza kufanya madudu yoyote as long as hakuna sheria inayombana.

  Kuwahubiria watanzania kuwa uongozi bora lazima atoke CCM daima ni kosa jingine kubwa alilofanya Nyerere baada ya kuwa amestaafu siasa kwa vile aliimarisha CCM yake ambayo haikuwa na misingi imara ya uongozi na hivyo kuvutia mafisadi wengi huko CCM huku akiwakejeli na kuwafanya viongozi wote waliokuwa vyama vya upinzani waonekane kama ni wabaya mbele ya jamii ya watanzania hata kama viongozi hao walikuwa ni waadilifu kiasi gani


  Yote hayo ndiyo yanayofanya tuwe na akina Rostam kama King Makers wetu kwa malipo ya jasho letu kubwa sana. Kabla ya mwaka 1995 Rostam hakuwa tajiri wa kutisha hivyo. Alipata ubunge wa Igunga kwa sababu eti aligawa magunia kadhaa ya mahindi bure huko vijijini wakati wa njaa ya mwaka 1994. Baada ya kuwa mbunge, serikali ilimpa tenda ya kinyemela kujenga barabara ya Shekilango pale Sinza. Katika ujenzi ule, alibomoa nyumba na biashara za watu, na kuishia kujenga vibada vichache sana vya daladala, wala hakuna barabara yoote iliyojengwa; serikali haikufanya lolote kwa vile alikuwa mwenzao. Kuingia kwake kwenye mtandao wa Kikwete, ikawa ndiyo hitimisho la lengo lake na kumfanya awe mtu tajiri sana tena mwenye kutisha kiasi kuwa hata rais anamwongopa. Yote hayo yasingetokea kama Nyerere angeacha katiba nzuri sana yenye kutoa adhabu kali kwa kiongozi yeoyet anayetumia madaraka yake vibaya. Kifungu pekee cha katiba ninachoona aliacha ni kile cha kuwa na term limit kwa president; sijaelewa kwa nini alisema rais asishtakiwe hata kama alifanya madudu gani, labda yeye mwenyewe naye alikuwa anaogopa asishtakiwe.
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kichuguu.. to tell you the truth mimi nafikiri kama hawa watu ndio walikuwa wasaidizi wa Nyerere wakati huo, sidhani kama he could have done anything better. Alijaribu kuweka misingi mizuri sana ndio maana tumeweza kubadilishana mabadaraka bila kuacha ukoo fulani hivi kututawala kama tunavyoona ya Misri, Tunisia n.k ambako viongozi hawakuweka utaratibu vizuri.

  Ila binafsi naamini kabisa kosa kubwa kabisa la kihistoria la Nyerere ni kuiacha CCM kama default party baada ya mfumo wa vyama vingi. Wakati tunarudi kwenye vyama vingi vyote vingeanza at zero, kuwa na serikali ya mpito n.k lakini sisi tuliruhusu tu vyama vingine wakati CCM ikiwa bado madarakani. This was a huge mistake or as I see it a big political miscalculation kwani tunalipia hadi sasa.
   
 7. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tumenogewa tumebaki tumebuyama?

  Hapana.

  Tumeweka wazi wenye nchi CCM bado wanalala naye Rostam kwa mapenzi yao yote.

  Kwa kitendo hicho cha kuwa lala CCM,Rostam yuko juu ya sheria na katiba ya nchi.

  Hii ndiyo sababu kubwa ya Rostam kutochukuliwa hatua za kisheria.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,187
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kulipwa mapesa yote haya lakini Rais wa nchi hawajui wamiliki wa Dowans wakati Waziri wake Ngeleja anawajua wamiliki wa Dowans! Sijui ni yupi kati ya hawa jamaa wawili anayesema ukweli. Ukistaajabu ya Mkapa utayaona ya Kikwete.
   
 9. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kule kwa Malikia Elizabeti watu hawa tunawaita " Bad Shirts"
   
 10. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Majuto ni mjukuu.

  Matatizo tuliyonayo sasa yalilelewa na kufugwa tangu enzi.
  Akina Mkapa walikuwa ni akina Yes sir.
  Kikwete alikuwa kijana mtii na mwenye adabu kumbe ndani ni Aligator.
  Akina Lowassa walionyesha kucha zao tangu enzi za Nyerere
  Akina Chenge walikuwa Back Bench wakisubiri wakati mwafaka.

  Ulikuwa ni Msafara wa Mamba watupu

  Rostam Ametake Advantage ya uoza wa CCM kama matajiri wengine wote wa kiasia walivyotake advantage.
  Amekusanya Pesa lukuki amenunua watu amewanywesha sehemu ya uovu wake, amewaweka kiganjani na kuwakazia macho ya OLE.

  Kwa pesa yake nyingi Rostam sasa amegeuka BEAST na viongozi wa CCM akiwemo Rais Kikwete na CC yote Hawathubutu hata kutaja jina lake wakitaja maovu. Ni heri wajimwagie Petroli WAJIPIGE KIBERITI WAUNGUE Wafe au heshima zao zipinde na dhamana yao iote manyasi kuliko kumtaja Rostam kuwa ndiye BEAST nyuma ya uoza Tanzania.

  Hii ni Kansa mwilini mwetu
  Kansa hii itatibiwa kwa gharama ya Damu yetu wenyewe.

  Tujiandae kunyonyoka Nywele kwa KIMOSERAPI
   
 11. n

  niweze JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  If this is true, kweli Watanzania tuna "Hatari ya Vita" Thats why taratibu za Bunge zinabadilishwa leo kwa Chadema kutokujua kilichoendelea two years ago. Nani ni Mtanzania leo hii?

  "Serikali ya Kijeshi hata mara moja sio mwenendo wa demokrasia"
   
 12. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kwani aliwahi kujua nini. Hajui kwa nini nchi ni masikini, hajui atakumbukwa kwa lipi
   
Loading...