Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji.
Kila...
Sayansi ya virusi ni mtambuka kama zilivyo zingine.
Virusi vinafahamika kubadilika hata kuwa hatari zaidi, visipotokomezwa mapema.
Virusi vya corona katika miili ya wasiochanjwa ndiko yaliko...
Hivi ni nini majukumu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa ya kila siku?
Inashangaza kuona kila anapopita Mheshimiwa Waziri mkuu au Mheshimiwa Rais kubaini ubadhirifu wa fedha za serikali...
MEYA MOSHI ATOA MASHINE YA PHOTOCOPY PRINTER NA
MAGUNIA YA MAHINDI
Leo Mstahiki Meya Manispaa Ya
Moshi Ameshiriki Kikao Cha Wazazi Shule Ya Msingi Mandela Iliyoko Manispaa Ya Moshi,Ambapo Katika...
Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya...
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama...
Wananchi a.k.a. Raia tumechoka,
Hivi ikitokea wazazi wamefariki na wakaacha mali halafu watoto wakabaki matabaka mawili wakubwa na wadogo, wakubwa wanataka wawanyonye ama kuwadhurumu wadogo , je...
Naomba kuelimishwa kuhusu hii mnayoita Chadema Digital ni nini hasa?
Je, mmewaiga CCM ambao wanasajili wanachama wao kwa njia ya mtandao tokea enzi za hayati Magufuli?
Au mmeiga ile style ya...
Komredi Polepole alisema kimsingi Katiba huandaliwa na Rais anayetoka madarakani kama ilivyokuwa mzee Kikwete lakini siyo aliyeingia madarakani.
Jaji Warioba anasema Katiba ni sheria ambayo...
"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe...
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.
Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa...
Mh. Rais ongea na wafanyabiashara wa ndani washushe bei ya bidhaa za ujenzi hasa bati kama wataleta visingizio "nonesense" Ruhusu bidhaa hizi zitoke nje kwa wingi ili tupate unafuu wa bei wananchi...
Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya
Mwakilishi wa Shirika hilo...
Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi...
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu kuchanja watu kwa lazima.
Hii baada ya vurugu kubwa ya waandamanaji kutokea Ubelgjii.
Walikuwa wakiandamana kuelekea makao makuu ya umoja wa ulaya...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema leo usiku wa saa 6:00 katika uwanja wa taifa zitarushwa fataki kama ishara ya kuanza sherehe za uhuru.
Wananchi msiogope bali mshangilie na...
Haya ndiyo Maajabu ya Tanzania, Wakati wanafunzi ambao ni binadamu wakizuiwa kuendelea na masomo wakati wa likizo kwa madai kwamba wanapaswa kupumzika, binadamu wenzao ambao ni Watumishi wa umma...
Naam, malengo ya kujitawala yalikuwa kujenga taifa moja, taifa lenye nguvu na lililo na usawa kwa wote.
Miaka 60 ya uhuru bado hakuna haki, tabaka masikini linanyanyasika, hakuna usawa wa...
Katibu mkuu wa wizara ya Maji amesema maji yameongezeka katika vyanzo vyetu vinavyotumika kuwahudumia Wananchi hivyo hakuna mgao wa maji kwa watumiaji wa kawaida
Source: ITV habari
Maendeleo...