Rais Samia yupo sahihi alivyosema "nonsense"

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,069
3,705
Hapo vip!

Kwanza kwa heshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake.

Ninaamini kazi ya Urais sio rahisi kabisa kama watu wanavyojiongelesha simple kwenye space isiyokuwa na P.O.Box.

Ni wazi rais ndio msemaji wa mwisho katika maswala mbali haijalisha litakufuraisha au halikufurahishi.

Sisi watanzania ni mashahidi kipindi cha awamu ya tano ilivyozuia sukari kutoka nje nchi,kilichotokea nikuanza kupanga foleni kama ndio nchi inapata uhuru pia sukari ilipanda gafla mpaka ikaw ni bidhaaa adimu sana mjini kipindi hicho tumesahau eh?

Leo mtu anatoa kauli za kuzuia uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi alafu tunaona yupo sahihi anataka aturudishe kwenye ile foleni eh.

Ongera mama kwa kukemea tena kwa ukali, wachache tunakuelewa.

Waziri mwenyewe anakiri yakwamba viwanda vingi bado hazijafanyiwa expansion kwa lengo la kuongeza uzalishaji w sukari na akaenda mbali akasema ni ya Moshi tu ndio imekizi vigenzo Moshi.

Sitaki niende mbali zaidi ila kwa report yake anakiri yakwa bado viwanda vyetu havinauwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha hii ni kwa tafsiri rahisi alafu unazuia sukari kutoka nje. Hii nonsense inaanzia hapa.

Haya maamuzi ya waziri nadhani sio kwa maslahi ya watanzania kwa anataka kutengeneza tatizonkama lile la wakati ule.

Maana yake mwisho wasiku rahis atalaamiwana watanzania kama tatizo lile litajirudia. Mimi natafsiri tofauti kabisa, namuomba mama awe makini.

Mwisho wa siku mama aonekane ameshindwa kazi eh.

Mama kaza wala usimuogope mtu una mamlaka ya kufanya chochote kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Kesho nitaendelea kufuatilia ile kesi ya ugaidi. Nchi lazima iwe salama chini ya mama yetu mpendwa.
 
Sisi watanzania ni mashahidi kipindi cha awamu ya tano ilivyozuia sukari kutoka nje nchi,kilichotokea nikuanza kupanga foleni kama ndio nchi inapata uhuru...pia sukari ilipanda gafla mpaka ikaw ni bidhaaa adimu sana mjini kipindi hicho.
Huyo mama yako alikuwa sehemu ya awamu ya 5 mliyokuwa mnaisifu kama nini, na aliunga mkono hiyo "non-sense" yake, mbona hamjamwambia kitu? Nyie ndio non-sense.
 
Wakati wenzetu wanaojielewa nchi zao zinapigana kupunguza matumizi ya sukari kwa raia wao sisi bado tunalumbana why sukari haitoshelezi mahitaji yetu!nchi imejaliwa mali asili nyingi tu why tunalumbana na hii sumu?
Upo sahihi kabisa. Unaambiwa katika kiungo ambacho hakina faida kwenye mwili wa binadamu basi cha Kwanza ni sukari ya kuongeza kwenye chai na uji😂
 
Hapo vip!!

Kwanza kwaheshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake...
Timu Mwendazake haionekani sana Mitandaoni siku hizi. Naona usajiri mpya wa Mama unakuja kwa kasi ya Mwanga...
 
Lililo wazi, mama ana reciprocate fadhila tuliyopewa na M7 kupitisha bomba la mafuta kwenye ardhi yetu. Logically she is right, Alilokosea ni kutumia maneno ya kishoga.
 
Sukari ya nje haijaanza kuwa tamu leo😁😁😁
0n3.jpg
 
Hapo vip!!

Kwanza kwaheshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake.
Kweli? wakati hapa Kilombero wakulima wa miwa wanateketeza miwa yao kwa kukosa masoko?
 
Back
Top Bottom