Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
830
500
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

photo_2021-11-30_01-32-49.jpg
 
Attachments

  • File size
    1.5 MB
    Views
    17

RAISI AJAYE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,783
2,000
Naona mkakati wa kuifuta chadema kwa kuyaleta mapandikizi ya vyama mbadala umeiva!!!!RIP chadema karibu CCU NA CCKD!!!
 
Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
984
1,000
Nan anaipenda ccm!! Weka tume huru ya uchaguze ndo ujue Kama inapendwa au haiprndwi. Hata juzi tu polisi wamezui mkutano wa chadema eti tishia la ugaidi. CCM wanajua nguvu ya chadema ndo mana hawataki kabisa kuruhusu mikutano Ila Shaka anaruhusiwa kufanya mikutano.

Ccm imeshajiishia imebaki inategemea polisi tu ili kubaki madarakani ndo mana wakisikia time huru au Katina mpya wako radhi waue kila mtu anayechomozakudai Katiba mpya Mana ndo salama yao
 
Nov 23, 2021
94
150
Upuuzi wa CCM uko wazi maana wanatumia mbinu za kizee. Mbinu walizotumia kizazi kikiwa kimelala wanadhani watafanikiwa hata sasa. Wamejaribu wa ACT lakini wamekwama. Kizazi hiki kimeshaamka na kinajua kinataka nini.
Uzee sio dhambi ,hata wewe ni mzee mtarajiwa ,mapumb..u ya shangazi yako
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
1,222
2,000
Sio kila chama kinaanzishwa kwa ajili ya kushinda uchaguzi na kuunda serikali.
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
1,670
2,000
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
Wahuni hawa, Hawana lolote jipya
 
Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
3,712
2,000
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
Sawa Chawa Jr, wasalimie machawa senior

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom