Kama katiba ingebadilishwa watu kama Joseph Msukuma wasingepata Ubunge

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
8,106
Reaction score
3,967
Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa.

Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika upatikanaji wa katiba mpya.

Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Musukuma asingeweza kabisa kutamba kama anavyotamba. Kwanza kabisa ashukuru kwa sababu vyombo husika WALILIFUMBIA macho hili la sivyo ASINGERUHUSIWA kugombea UBUNGE!

Baba ya Joseph Musukuma SI mtanzania ASILI kama ukweli ukifuatwa.ALITOKA nchi jirani ambayo Joseph hupenda KUISIFIA sana!!{............}

mama yake ndo MSUKUMA lakini baba SIVYO.

Kulingana na sheria zetu, mtu huwa anakuwa raia kutokana na BABA na sio MAMA. Kwa UJANJA huu Joseph aliamua KUPEWA AMA KUJIITA MUSUKUMA kama JINA

Na kama ninavyowafahamu Wasukuma HAWANA JINA kama hilo..
Tuulizane. Ni Msukuma yupi mwingine ANAYEJULIKANA kwa jina kama hilo??

Hivyo basi Iii KUKUBALIKA, jina "MUSUKUMA" LILIINGIZWA ili naye awe Msukuma. {MTANZANIA}
UKWELI ni kwamba ashukuru tu vyombo husika na serikali kulifumbia macho vinginevyo angekuwa MITAANI kama wengine na Ubunge angeusikia akiwa mbali.
 
Mkuu, Shinge, asante kwa taarifa lakini sio tuu acha ujinga, bali pia acha urongo, uongo na uzushi. Hakuna hoja ya jinsia kwenye uraia, mzazi mmoja akiwa Mtanzania, bila kujalisha ni baba au ni mama, mtoto anakuwa na haki ya uraia ya mzazi wake.

Ilipotimu saa 6:01 ya usiku, tarehe 9 Desemba 1961, kila mtu aliyekuwepo ndani ya ardhi ya Tanganyika, regardless asili yake ni wapi, alipata uraia wa Tanganyika automatically.

Kimsingi, masuala ya uraia duniani kote yanaongozwa na falsafa kuu mbili ambazo ni Haki za Kidamu (Jus Sanguinis - The rights of blood),ambapo mtu hupata uraia kutokana na uhusiano wa kidamu na wazazi wenye uraia wa nchi husika. Hii ina

maana kwamba, pamoja na mtu kuzaliwa katika nchi husika anatakiwa pia kuwa na mzazi ambaye ni raia wa nchi hiyo. Falsafa hii ndiyo inayofuatwa na nchi ya Tanzania.

Kwa maana nyingine kuzaliwa pekee nchini Tanzania hakumpi mtu haki ya moja kwa moja ya kuwa raia wa Tanzania, bali mtu atakuwa raia ikiwa amezaliwa Tanzania na wakati wa kuzaliwa kwake mzazi wake mmoja sharti awe ni raia wa Tanzania.

Falsafa nyingine ni (Jus Soli - The right of Soil), ambayo mtu hupata Uraia kutokana na kuzaliwa kwake katika ardhi ya nchi fulani. Kufuatana na Falsafa hii, mtu hupata uraia kutokana na kuzaliwa katika nchi husika bila kujali uraia wa wazazi wake.

URAIA WA TANZANIA
Masuala ya uraia nchini Tanzania yanasimamiwa na Sheria ya Uraia ya Tanzania ya mwaka 1995 Sura 357 kama ilivyorejewa mwaka 2002, pamoja na kanuni zake za mwaka 1997. Sheria hii imeanisha aina tatu za uraia wa Tanzania ambazo ni;
1. Uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa
2. Uraia wa Tanzania kwa kurithi
3. Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, au kujiandikisha.

Paskali
 
Wewe siyo bure, bali utakuwa na chuki binafsi na Mheshimiwa Mbunge Msukuma!
 
Acha uongo wakina musukuma wapo. Wengi hadi huku singida.
 
Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa.

Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika upatikanaji wa katiba mpya.

Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Musukuma asingeweza kabisa kutamba kama anavyotamba. Kwanza kabisa ashukuru kwa sababu vyombo husika WALILIFUMBIA macho hili la sivyo ASINGERUHUSIWA kugombea UBUNGE!

Baba ya Joseph Musukuma SI mtanzania ASILI kama ukweli ukifuatwa.ALITOKA nchi jirani ambayo Joseph hupenda KUISIFIA sana!!{............}

mama yake ndo MSUKUMA lakini baba SIVYO.

Kulingana na sheria zetu, mtu huwa anakuwa raia kutokana na BABA na sio MAMA. Kwa UJANJA huu Joseph aliamua KUPEWA AMA KUJIITA MUSUKUMA kama JINA

Na kama ninavyowafahamu Wasukuma HAWANA JINA kama hilo..
Tuulizane. Ni Msukuma yupi mwingine ANAYEJULIKANA kwa jina kama hilo??

Hivyo basi Iii KUKUBALIKA, jina "MUSUKUMA" LILIINGIZWA ili naye awe Msukuma. {MTANZANIA}
UKWELI ni kwamba ashukuru tu vyombo husika na serikali kulifumbia macho vinginevyo angekuwa MITAANI kama wengine na Ubunge angeusikia akiwa mbali.
Kwani alizaliwa wapi? Kama alizaliwa hapa tz basi ni mtanzania halali hata kama wazazi wake wote wawili c watanzania
 
Mkuu, Shinge, asante kwa taarifa lakini sio tuu acha ujinga, bali pia acha urongo, uongo na uzushi. Hakuna hoja ya jinsia kwenye uraia, mzazi mmoja akiwa Mtanzania, bila kujalisha ni baba au ni mama, mtoto anakuwa na haki ya uraia ya mzazi wake.

Ilipotimu saa 6:01 ya usiku, tarehe 9 Desemba 1961, kila mtu aliyekuwepo ndani ya ardhi ya Tanganyika, regardless asili yake ni wapi, alipata uraia wa Tanganyika automatically.

Kimsingi, masuala ya uraia duniani kote yanaongozwa na falsafa kuu mbili ambazo ni Haki za Kidamu (Jus Sanguinis - The rights of blood),ambapo mtu hupata uraia kutokana na uhusiano wa kidamu na wazazi wenye uraia wa nchi husika. Hii ina

maana kwamba, pamoja na mtu kuzaliwa katika nchi husika anatakiwa pia kuwa na mzazi ambaye ni raia wa nchi hiyo. Falsafa hii ndiyo inayofuatwa na nchi ya Tanzania.

Kwa maana nyingine kuzaliwa pekee nchini Tanzania hakumpi mtu haki ya moja kwa moja ya kuwa raia wa Tanzania, bali mtu atakuwa raia ikiwa amezaliwa Tanzania na wakati wa kuzaliwa kwake mzazi wake mmoja sharti awe ni raia wa Tanzania.

Falsafa nyingine ni (Jus Soli - The right of Soil), ambayo mtu hupata Uraia kutokana na kuzaliwa kwake katika ardhi ya nchi fulani. Kufuatana na Falsafa hii, mtu hupata uraia kutokana na kuzaliwa katika nchi husika bila kujali uraia wa wazazi wake.

URAIA WA TANZANIA
Masuala ya uraia nchini Tanzania yanasimamiwa na Sheria ya Uraia ya Tanzania ya mwaka 1995 Sura 357 kama ilivyorejewa mwaka 2002, pamoja na kanuni zake za mwaka 1997. Sheria hii imeanisha aina tatu za uraia wa Tanzania ambazo ni;
1. Uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa
2. Uraia wa Tanzania kwa kurithi
3. Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, au kujiandikisha.

Paskali
Umemjibu vizuri mwambie asome katiba vizuri na sheria ya uraia
 
Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa.

Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika upatikanaji wa katiba mpya.

Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Musukuma asingeweza kabisa kutamba kama anavyotamba. Kwanza kabisa ashukuru kwa sababu vyombo husika WALILIFUMBIA macho hili la sivyo ASINGERUHUSIWA kugombea UBUNGE!

Baba ya Joseph Musukuma SI mtanzania ASILI kama ukweli ukifuatwa.ALITOKA nchi jirani ambayo Joseph hupenda KUISIFIA sana!!{............}

mama yake ndo MSUKUMA lakini baba SIVYO.

Kulingana na sheria zetu, mtu huwa anakuwa raia kutokana na BABA na sio MAMA. Kwa UJANJA huu Joseph aliamua KUPEWA AMA KUJIITA MUSUKUMA kama JINA

Na kama ninavyowafahamu Wasukuma HAWANA JINA kama hilo..
Tuulizane. Ni Msukuma yupi mwingine ANAYEJULIKANA kwa jina kama hilo??

Hivyo basi Iii KUKUBALIKA, jina "MUSUKUMA" LILIINGIZWA ili naye awe Msukuma. {MTANZANIA}
UKWELI ni kwamba ashukuru tu vyombo husika na serikali kulifumbia macho vinginevyo angekuwa MITAANI kama

wengine na Ubunge angeusikia akiwa mbali.

umetoa wapi uwezo wa kuandika ujinga kwa kiwango hiki? tengenezeni forum yenu pambeni na rangi ya kijani na njano, inamaana katiba mpya ilikua inamuhusu msukuma!!!!!!!!!!!
 
Mbona umewaka sana vipi mkuu?. Taratibu tu!
 
Musukuma aliomba bangi iwe rasmi kwa kuwa ni tamu sana na inamsaidia kufanya kazi
 
Musukuma aliomba bangi iwe rasmi kwa kuwa ni tamu sana na inamsaidia kufanya kazi
 
Mkuu, Shinge, asante kwa taarifa lakini sio tuu acha ujinga, bali pia acha urongo, uongo na uzushi. Hakuna hoja ya jinsia kwenye uraia, mzazi mmoja akiwa Mtanzania, bila kujalisha ni baba au ni mama, mtoto anakuwa na haki ya uraia ya mzazi wake.

Ilipotimu saa 6:01 ya usiku, tarehe 9 Desemba 1961, kila mtu aliyekuwepo ndani ya ardhi ya Tanganyika, regardless asili yake ni wapi, alipata uraia wa Tanganyika automatically.

Kimsingi, masuala ya uraia duniani kote yanaongozwa na falsafa kuu mbili ambazo ni Haki za Kidamu (Jus Sanguinis - The rights of blood),ambapo mtu hupata uraia kutokana na uhusiano wa kidamu na wazazi wenye uraia wa nchi husika. Hii ina

maana kwamba, pamoja na mtu kuzaliwa katika nchi husika anatakiwa pia kuwa na mzazi ambaye ni raia wa nchi hiyo. Falsafa hii ndiyo inayofuatwa na nchi ya Tanzania.

Kwa maana nyingine kuzaliwa pekee nchini Tanzania hakumpi mtu haki ya moja kwa moja ya kuwa raia wa Tanzania, bali mtu atakuwa raia ikiwa amezaliwa Tanzania na wakati wa kuzaliwa kwake mzazi wake mmoja sharti awe ni raia wa Tanzania.

Falsafa nyingine ni (Jus Soli - The right of Soil), ambayo mtu hupata Uraia kutokana na kuzaliwa kwake katika ardhi ya nchi fulani. Kufuatana na Falsafa hii, mtu hupata uraia kutokana na kuzaliwa katika nchi husika bila kujali uraia wa wazazi wake.

URAIA WA TANZANIA
Masuala ya uraia nchini Tanzania yanasimamiwa na Sheria ya Uraia ya Tanzania ya mwaka 1995 Sura 357 kama ilivyorejewa mwaka 2002, pamoja na kanuni zake za mwaka 1997. Sheria hii imeanisha aina tatu za uraia wa Tanzania ambazo ni;
1. Uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa
2. Uraia wa Tanzania kwa kurithi
3. Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, au kujiandikisha.

Paskali
Kama ulikuwepo vile 100%
 
Asante mkuu..yule shilawadu atakua ameshakimbia maana umempa nondo za kutosha.
 
Mkuu unataka kuniambia kwamba wale Waingereza waliokuwepo pale uwanjani wakati Union Jack ikishushwa na Bendera ya Tanganyika huru ikipanda basi wote walipata uraia wa Tanganyika?
 
Musukuma aliomba bangi iwe rasmi kwa kuwa ni tamu sana na inamsaidia kufanya kazi
Jana nimewasikia Maseneta wa Kenya nao wakiomba bangi iwe halali. Mmoja wao anaitwa Machage ambaye ni Mkurya wa Kenya alisema ati Tanzania bangi ni halali na inalimwa bila shida. Leo nikaona kwenye TV kwamba huko Tarime nusu ya ardhi ya kijiji inalimwa bangi na wakulima walikuwa wakilinda mashamba yao kwa silaha za jadi.
 
Infighting zinaanzishwa,wana ccm tushikamane.
 
mleta mada kwa kifupi ukitaka tuanze kutafuta asili za watu na uraia wa tanzania utaumiza kichwa bure.....

mfano kabila la wanyamwezi,wahaya, waha na wafipa walitokea kongo hadi tanzania na hawa wote ni kizazi toka enzi za mfalme nyarubanja.

ndio maana majina kama vile KABILA,KABWE,KAPUYA, KAIJAGE,KAGAME, KAGASHEKI, KAGUTA, KALUMANZILA, KAUNDA, KAMUSOKO, KAFUMU, KAKOBE, KAMACHUMU,KATUMBI

N.K HAYA MAJINA YAPO UHAYANI, UNYAMWEZINI,USUKUMANI,UFIPA NA WAHA.

LAKINI UKIENDA NCHI KAMA UGANDA,RWANDA, BURUNDI NA KONGO HAYA MAJINA UTAYAKUTA . KWAIYO MLETA KWA KIFUPI SISI SOTE NI WANYARUBANJA KWAIYO ILE DHANA YA USUKUMA UNATAKIWA UIFUTE KWANZA HAKUNA KABILA LA WASUKUMA
 
Back
Top Bottom