Inadaiwa Freeman Mbowe azuiliwa kupewa chakula akiwa mahabusu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,803
2,000
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."

Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:

"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817

Lema ataacha lini siasa za TAHARUKI zisizomsaidia?!!!!

Aendelee tu KUBWABWAJA huko UGHAIBUNI.....
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,917
2,000
Chadema wakati mwingine mtulie na kutafakari.Chakula kililetwa na nani?Sio kila mtu akileta chakula kitapokelewa kwa mtu mkubwa kama yule
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,156
2,000
inawezekana Mbowe kaonewa au hajaonewa...ni siri baina yake na dola lakini pia haki itaamua iwe mahakama au otherwise..

Hawa wengine waache kutafuta attention na umaarufu kupitia Mbowe kuwa mahabusu, wanaojua taratibu za kumpelekea mfungwa au mahabusu chakula sidhani kama kuna issue yeyote...kama wahusika nia yao ni kumdhuru Mbowe wana njia nyingi kuliko hii ya kumnyima chakula Lema atulie Canada aache kutafuta umaarufu..
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,536
2,000
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."...
Lema ameolewa huko aache kelele

USSR
 
Wamundemu

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
692
500
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ...
Wewe ni mtafuta kiki za kijinga. Huna mvuto tena kisiasa acha kuzusha taharuki. Hebu rudi nyumbani umejitafutia ukimbizi wa sifa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom