Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Kweli wahenga wapewe heshima zao, maneno yao huwa hayaendi na maji wala upepo. Wakiongea kitu huwa wameona mbali na huwa inatokea kweli. Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa...
16 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati...
8 Reactions
175 Replies
17K Views
Wakongwe wa jukwaa hili, nawasilimia shikamoo! Baada ya shikamoo hiyo, tangu JPM aingie madarakani kumekuwa na wimbi la wanasiasa kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM, CHADEMA kwenda ACT, ACT kwenda...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu Nape salaam, Kati ya jambo lililonishangaza na kunifikirisha Sana ni kile ulichochapisha Ndugu Nape Nnauye ambaye ulipuuzia kuwa wewe ni mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanasiasa anayeongea kwa Takwimu, Zitto Kabwe kaandika hivi; Juzi Nimeuliza hapa kuhusu Mradi wa Kiwanda cha Sukari Kampuni ya Mkulazi Holdings ambayo inamilikiwa na Shirika la NSSF na Jeshi la...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwanza niliombe baraza la madiwani manispaa ya Iringa liufutilie mbali ushuru wa Pumba waliorithi kutoka baraza la madiwani lililopita ambalo lilikuwa linaongozwa na Kimbe wa CHADEMA. Ikumbukwe...
1 Reactions
7 Replies
897 Views
Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
2 Reactions
118 Replies
6K Views
Polepole amesema hakuna wa kumzuia kusema na CCM hatoki kwa hiari. Polepole amewakemea viongozi wa CCM kwa kutosema makosa ya kiutendaji ya serikali na pia amewasema viongozi wa serikali...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wana jukuwaa. Taarifa za kushitusha ni kwamba huenda kwenye bunge lijalo (2020 -2025) mbunge aliyefukuzwa chadema na Tundu Lisu mh Zito Kabwe asionekane tena! , hii ni kufuatia wananchi...
9 Reactions
126 Replies
24K Views
Bwana Nape nikukumbushe tu hii nchi sio ya CCM wala ya Baba yako! Unataka kuuamisha uma ya kuwa nje ya kundi unaloliona wewe basi CCM haipo wala nchi haitawaliki! CCM itapita lakini Tanzania...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
✓Wapo wanaopotosha Rais Samia hakupigiwa Kura ✓Wapo wanaopotosha hastahili kugombea tena Urais ✓Wapo wanaopotosha hana uhalali wa kushika wadhifa huo wa Urais hivyo; SASA TUELEWANE Kufuatia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi. Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi. Sisi Chadema hatuna...
1 Reactions
19 Replies
949 Views
Lazima niseme ukweli,ukosoaji wa kweli dhidi ya serikali unatoka nje ya wanachama wa CCM. MwanaCCM ukiona anaikosoa serikali ujue njaa inamsumbua yaani kakosa mkate(maslahi) siku akipewa mkate...
3 Reactions
5 Replies
667 Views
Kuna swali linaulizwa na wengi, hii Serikali ni ya Awamu ya ngapi? Kwa Utamaduni hatarishi ya CCM watakwambia ni Awamu ya 5 iliyoanza na Dk. Magufuli (the late). Ukweli ninaoujua ni kwamba hii ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi. Iwapo anahisi the so called Godfather...
53 Reactions
100 Replies
7K Views
Back
Top Bottom