D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,814 Reaction score 12,574 Dec 10, 2021 #1 leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963. Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua? Happy Independence Day
leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963. Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua? Happy Independence Day
J Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 13,386 Reaction score 6,723 Dec 10, 2021 #2 CCM wamelaanika ,damu walioimwaga ni nyingi
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,814 Reaction score 12,574 Dec 11, 2021 Thread starter #3 Jagina said: CCM wamelaanika ,damu walioimwaga ni nyingi Click to expand... kabisa yani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,129 Reaction score 195,885 Dec 11, 2021 #4 Ahsante kwa taarifa...