johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,612
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi amesema jeshi lake limemkamata kijana aitwae Hamza Josia kwa makosa ya ujangili.
Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4
Source: Eatv habari
Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4
Source: Eatv habari