Maisha yanaenda kasi sana, Lugola huko alipo sijui anajisikiaje

Maisha ni mlima,kuna kupanda na kushuka,Aliye juu mgoje chini,wahenga walisema na walimaanisha:Kila lenye mwanzo huwa na mwisho,cheo ni dhamana tumia kwa busara na haki,utafanikiwa siku zote Mungu alizokupa.Kama mzee Mwinyi hakumlipizia mtesi wake na akaendelea kumpa teuzi,Mungu tunusuru na visasi.
 
Utumishi wa umma yatakiwa ubalance aliyechini leo kesho ni boss yako.
Leo Gwajima ni Mkubwa kuliko kovakova kuliko bashite,Silinde Mkubwa kuliko bashiru, polepole.Miaka hii 5 kwa kweli Mungu ametuonyesha live maana halisi ya zile methali za wahenga aliyejuu mngoje ....
Tembea na watu Ili hata ukianguka wakudake.Leo Kange, bashite, kovakova ni raia wote tunapanga foleni moja.
 
Back
Top Bottom