Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya ni maneno ya the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akihofia kuliongelea Azimio hili muhimu na lenye kila misingi na miongozo muhimu ya jinsi gani Tanzania huru ienende. Kwa upuuzi wa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
CCM ilikuwa imefikishwa pabaya kiasi cha mtu aliyekuwa anavaa shati au kitenge cha kijani alirushiwa mawe. Leo hii tunaona maelfu ya wananchi wakiona fahari kubwa kuvaa jezi za kijani na...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Unapoongelea fikra za ukombozi barani Afrika basi ni wazi hutaacha kukitaja chuo kikuu cha Dar es Salaam. Chuo hiki ni kikongwe na ni chimbuko la wasomi wanamapinduzi ambao mara zote...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Hakika CCM imejipanga kisayansi na inatumia rasilimali vyema. Leo Mama Samia amemkabidhi Ilani Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kongwa Ndugu Job Y Ndugai.
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya...
32 Reactions
103 Replies
16K Views
Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni ukweli mchungu kwa Mabeberu .
3 Reactions
3 Replies
820 Views
Je! inawezekana Mtu anayetutukania mama zetu wa kutuzaa Yeye akawa sio Muhuni ? #HUYU SASA NDIO MUHUNI WA WAHUNI MSIKILIZE KWA MAKINI,
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano? Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu,ni ushauri wa bure kwa mama sophia simba,sitaki anilipe hata shilingi Moja,mama yetu sophia simba andika barua kwa msajili wa vyama vya siasa akusaidie urudi kwenye nafasi yako uwwt kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania...
1 Reactions
12 Replies
928 Views
Wafuatao nawaomba wanipe majibu ya swali langu hapo juu baada ya maelezo yafuatayo; Ndugu zangu, Watanzania, bila shaka kila aliye Mtanzania na anaishi hapa Nchini anajua fika hali ngumu...
1 Reactions
3 Replies
989 Views
Hii mechi haikuwa ya Timu ya Taifa, ilikuwa ni mechi ya vilabu vyetu vya ndani tu, tena wala si vilabu vya Chama cha Mapinduzi , ni vilabu vya wananchi kutoka vyama vyote kabisa . Huu ushamba wa...
19 Reactions
74 Replies
6K Views
Mh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi. Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa...
10 Reactions
79 Replies
8K Views
Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo jembo na jambo la wakati pale unaposikia viongozi wa CCM wakijipongeza na kusherekea CcM kurudi Kwa wenyewe( Kwa maneno mengine CCM Ina wenyewe). Ni jambo la msingi sana na utokea pale...
1 Reactions
2 Replies
800 Views
Hii imetokea leo mjini Dar es salaam katika hafla ya kuwakabidhi kadi za Kidigitali wanachama wa Kanda ya Pwani . Mziki wote huu hapa , Jamaa ni mkali sana ! anaweza kutoa Single ikatikisa nchi
11 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom