Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hadi sasa mjadala wa maneno unaoendelea kati ya Nape na Polepole unazidi kuchukua sura mpya kila kukicha. Kila mtu anavutia kwake na kila mtu yupo sahihi. Ila kubwa ambalo nimeliona ni kuwa kuna...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine...
41 Reactions
319 Replies
46K Views
CCM ni ile ile jana juzi na kesho, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime 2025 wakipatana mpate mavuno, tunawaona jinsi watu wanavyodemka kwa kufuata midundo huu ndio utamaduni wa CCM kupata...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Tundu Lissu: Vigelegele mnavyo mpigia Ibilisi havita dumu hivi. Wakitumaliza sisi wapinzani watahamia kwenu
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021. Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: "Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk...
23 Reactions
211 Replies
13K Views
Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni ushauri tu. Kuna watu wamelifanyia makubwa sana hili taifa pamoja na CCM na Jumuiya zake lakini hawakumbukwi kabisa. Nimuombe balozi mstaafu komredi Nchimbi atuandalie kumbukizi la Horace...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunao uzoefu mkubwa sana kwa yaliyotokea kwenye kesi ya Mh Lema , Arusha , ili kuendelea kumshikilia kuna mambo mengi sana ya kishamba yalifanywa , hatutaki yajirudie. Nawapa angalizo Mawakili wa...
27 Reactions
79 Replies
8K Views
Rais Mwinyi amesema kero za muungano zimeshashughulikiwa na zilizobaki chache ambazo kimsingi ni changamoto zinahitaji mjadala mpana zaidi kwa wadau. Kwa mfano swala la mfuko wa fedha za pamoja...
2 Reactions
82 Replies
5K Views
Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa. Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini...
1 Reactions
1 Replies
709 Views
Wadau kuna kundi linadai ufisadi na rushwa vimeongezeka kipindi hiki cha utawala wa rais samia mpaka rais akasema ufisadi na rushwa vilikuwepo awamu zilizopita. Je, kuendelea kuwalipa mishahara...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana. Kwa hakika hawakukosea waliotambua elimu haina mwisho. Kwa umoja wao bila kujali itikadi zao kisiasa, walikuwa na neno la faraja kwa ajili yao. Ama...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilipowaona Halima James Mdee na mwenzake Esther Bulaya wamejisalimisha kwa Yesu ili awe Bwana na mwokozi wa maisha yao nikajua yawezekana Godfather wao ana msukosuko fulani. Maana kama Polepole...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Hatimaye masaa takriban 7 hivi yaliyopita waziri wa mambo ya nje wa Tanzania ndugu Mahiga amezindua ubalozi mpya wa Tanzania nchini Israel. Ubalozi huo upo mji wa Tel Aviv hii ikiashiria Sera mpya...
7 Reactions
109 Replies
13K Views
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye. Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakuna ubishi kuwa CCM hii ya John Pombe Magufuli imerejea misingi ya kuundwa kwake. Ni CCM ile ya wanyonge waliokandamizwa kwa muda mrefu na waliotaka mabadiliko ya kweli. Ni CCM inayokataa...
7 Reactions
117 Replies
7K Views
Haya ni maneno ya the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akihofia kuliongelea Azimio hili muhimu na lenye kila misingi na miongozo muhimu ya jinsi gani Tanzania huru ienende. Kwa upuuzi wa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom