Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kwa kuangalia Press Release iliyotolewa, Mwandishi alitakiwa ajiridhishe nini kwa mfano?!Uandishi unatakiwa ku balance hasa kwenye issue sensitive kama hizo.Upande wa serikali haukuulizwa na hizo habari mwandishi ha ku confirm na wizara ya afya
Pia hilo tamko la ubalozi wa marekani lina walakini kisayansi ona unasema kuwa kitisho cha maambukizi ya virusi vya corona jijini Dar es Salaam na maeneo mengine kipo juu mno kwa sababu serikali haijatoa takwimu za ugonjwa wa COVID19 !!!!!!
Hivi kiini cha maambukizi ya Corona kuwa kubwa ni sababu ya takwimu? takwimu ndizo zinasambaza corona? takwimu ndio wadudu wa corona? Na kuwa tiba ya Corona ni takwimu ukizitoa ndipo watu wanapona!!!
Mwandishi alitakiwa ajiridhishe kisayansi kama ni kweli takwimu ndizo zinasambaza Corona kuwa kadri unavyotoa takwimu sanaaaa Corona inapungua!!! Marekani wanatoa takwimu sana kila saa Corona mbona haishuki?
Milion mamia kadhaaa...350,000,000//// ,,.400,000,000 wanazikwa rasmi!Hawa jamaa safari hii wanazikwa rasmi
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli risk ya kupata COVID-19 in Tanzania bado ni kubwa,ya wastani au iko chini au haipo kabisa na na ajiridhishe kuwa maambukizi ni kweli yako juu na yanaendelea kuwa juu kama ubalozi wa marekani unavyodai? Sababu tamko lao ubalozi sio la Mungu linahitaji independent verification ya Mwandishi kabla kuchapishaKwa kuangalia Press Release iliyotolewa, Mwandishi alitakiwa ajiridhishe nini kwa mfano?!
Alitakiwa ajiridhishe kwanza kwamba Press Realese husika ni kweli imetolewa na US Embassy, au?!
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli US Department of States imetoa a Global Level 4 Advisory for COVID-19?
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli risk ya kupata COVID-19 in Tanzania bado ni kubwa?
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli Ubalozi wameshauri wananchi wao kuendelea kuchukua tahadhari?
Alitakiwa ajiridhishe kwanza kama ni kweli health facilities ZINAWEZA kuelemewa?
Alitakiwa ajiridhe kwanza ikiwa ni kweli uwezo mdogo wa hospitali zilizopo INAWEZA kusababisha kuelemewa?
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli serikali imeondoa vikwazo vya usafiri kwa international flights?
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli US Embassy inafahamu kuna mashirika kadhaa ya ndege yamepanga kufanya safari zake kuingia Tanzania
Alitakiwa ajiridhishe kwanza ikiwa ni kweli mashirika ya ndege yaliyotajwa yanapokea online reservation?!
Or, ni kipi hasa alitakiwa kwanza kujiridhisha kwa kuangalia the said Press Release
Si "hawachuji"...wacha wayaone!!
Kwan hua magazeti yanayoandika corona imeisha Tanzania hua wanaenda kuuliza ubalozi kwanza?Uandishi unatakiwa ku balance hasa kwenye issue sensitive kama hizo.Upande wa serikali haukuulizwa na hizo habari mwandishi ha ku confirm na wizara ya afya