Kesi ya Mbowe: Kuelekea hukumu kumhusu Ling'wenya

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,846
35,849
Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa:

1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu.

2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile:

Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

3. Mama Helen Kijo-Bisimba mkurugenzi mstaafu LHRC naye hakubakia nyuma:



Orodha ni ndefu ndani na nje ya nchi.

Tuendelee kupaza sauti haki inapoonekana kuporwa.

IMG_20211211_233507_327.jpg


Hayo ndiyo majumba mabovu yenyewe.
 
Kumbe Samia aliwahi kubambikiwa kesi, sasa naye anasimamia kubambikiwa kesi wengine, niseme kwa kifupi anaendeleza status quo, nikategemea yeye ndie angekuwa mpigania haki imekuwa kinyume chake.
 
Kumbe Samia aliwahi kubambikiwa kesi, sasa naye anasimamia kubambikiwa kesi wengine, niseme kwa kifupi anaendeleza status quo, nikategemea yeye ndie angekuwa mpigania haki imekuwa kinyume chake.

Kwa hakika aliyoyasema leo kwamba angali hajachukua hatua zozote kuyashughulikia tungali tuna safari ndefu sana.

Tanpol wangali wana credibility ipi kwa nani?

Kwamba kumbe wale jamaa walikuwa ni kina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne na Msemwa serikali ilikuwa wapi?

Je hapa tulipo imekwisha chukua hatua zipi?
 
Back
Top Bottom