Kama kweli katika nchi hii hayati Magufuli alikuwa ndio kikwazo na aliwaogofya wengi basi sasa hayupo tena.
Mbona wale waliokimbia nchi na familia zao hawataki kurudi?
Mnyonge mnyongeni haki...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano mzuri kwa Wananchi badala ya kufanya ubabe Migodini.
Amesema, "Wabunge ambao maeneo...
Habarini hapa jukwaani
Katika mnyukano ambao unaendelea katika mitandao ya kijamii kati ya watu ambao wamewahi kushika nyadhifa kubwa katika Chama Changu cha Mapinduzi, ambapo ni ndugu Humphrey...
Watu wa Kaya hii wana utaratibu wao, mpangaji hana sauti kwa mwenye nyumba katu, hawezi hata kupiga mluzi nje ya nyumba mbele ya mwenye nyumba, kwanini asione aibu kumpigia kelele mwenye nyumba...
Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini.
Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga".
Je ni Nini hatma...
Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa...
Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembo akiwa Bungeni leo amesema kwamba hakuna Mpinzani wa kushindana na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu 2020 hivyo pesa ambazo zingetumika kwenye uchaguzi basi...
Kuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano.
Yaani imekuwa ni kama formula kwamba uhuru lazima tuoneshe masilaha ya kivita na makomandoo wapite pale...
Kuna habari inazunguka mtandaoni ikiwa ni pamoja na humphrey pole pole mwenyewe kuichapisha kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba amevamiwa nyumbani kwake dodoma na watu wasiojulikana.
Kwangu...
Nimepita kwa daladala kutoka Temeke - Lumo jet - Kinyerezi hadi Mbezi mwisho stendi ya mkoa lami tupu sijagusa vumbi.
Nikatoka Mbezi mwisho hadi Bunju kupitia Madale ni full mkeka no vumbi.
Kwa...
Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi...
Wadau,
Tumeenda kituo cha afya Kanyala kilichopo halmashauri ya Geita Mji kwa nia ya kumpatia chanjo ya awali mtoto mchanga. Wahudumu wa afya wametuambia mtoto ataruhusiwa kupata matone tu ya...
Waache Vigogo wa enzi hizo na watoto wao waendelee kubwabwaja na kulialia .....Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi amekuja kufungua fursa zilizozibwa kwa miaka mingi.
leo hii mtoto...
Katika miaka mitano hii kwa mara ya kwanza nchini tumeshuhudia majimbo yenye viongozi wa upinzani tukinyimwa haki zetu tunazozigharamia kwa kodi zetu! Rais wa nchi anathubutu kusema siwapi maji...
Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya...
Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanganya umma kuwa eti bunge la Uingereza halioneshwi live! Huu ni uongo kuongea kitu ambacho mtu...
Nimemsikiliza Dr. Kasheku Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.
1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.
2. Kumbe...
Napenda kuwapa pole CCM kwa kuondokewa na kada makini aliyekipenda sana chama chake.
Dkt. Donald Kisanga alikuwa kada wa CCM na mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini
Kiongozi wa chama cha waimbaji...
Wanabodi.
Tofauti ya awamu ya tano na hii ya sita ni political maturity katika ya awamu iliyopita na hii kwenye Political tolerance.
Utofauti wa kuvumilia hoja pinzani kati ya Rais samia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.